MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Usafiri Wa Meli Ni Salama, TASHICO Yaahidi Kuuimarisha Zaidi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Usafiri Wa Meli Ni Salama, TASHICO Yaahidi Kuuimarisha Zaidi
Habari

Usafiri Wa Meli Ni Salama, TASHICO Yaahidi Kuuimarisha Zaidi

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Lyatuu

KAMPUNI ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema usafiri wa meli ni salama na kwamba iko tayari kwa ajili ya kuuimarisha  zaidi kama serikali ilivyowapa dhamana hiyo.

Aidha imesema imefanya utafiti wa kina kujua aina ya meli inayoweza kufanya kazi katika visiwa vya Pwani ikiwemo mikoa ya Tanga,Mtwara na hata visiwa jirani kama vya Comoro.

Ofisa Uhusiano wa TASHICO, Edmund Rutajama amesema hayo jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa meli zote zilizopo zinafanya kazi ndani na nchi ambazo zinapakana na Tanzania.

Amesema usafiri wa meli unazidi kuimarika na kwamba meli zilizopo zinaweza pia kutumika kwa ajili ya kufanya matamasha mbalimbali hatua itakayotangaza nchi.

Habari Picha 12780

“Tuna meli za abiria, mizigo na hata nyingne hutumika kubeba
Makaa ya mawe na zinafanya kazi vizuri hivyo wananchi wanashauriwa kutumia usafiri huo,” amesema na kuongeza kuwa meli ya Mv Liemba hivi karibuni inatarajiwa ianze kufanya kazi.

Ofisa Masoko Mkuu wa TASHICO, Eugenia Punjila amesema Kampuninhiyo ni ya serikali ikijishughulisha kutoa huduma ya usafirishaji.

Nahodha Msaidizi wa TASHICO, Juma Chigua kampuni inajali usalama wa abiria na mizigo kuanzia mwanzo aa safari hadi mwisho.

Aidha anakaribisha watanzania kupata huduma hiyo kwa kuwa ni salama,ikiwa na uwezo aa kusafirisha.mizigo mingi kwa wakati mmoja

Habari Picha 12781

You Might Also Like

Tanzania Kuwa Mwenyeji Wa Mkutano Wa Petroli Afrika

Aprili 2025 Matokeo Awamu Ya Kwanza, Maoni Dira Ya Taifa Na Maendeleo 2050 Kutolewa

Ndizi, Mchele, Mafuta Vyapanda Bei

TALGWU Yaipongeza Timu Ya Makatibu Wa Mikoa Na Mawakili Wa Kanda Kwa Kutoa Huduma Bora Kwa Wanachama

Mbunge Kuchauka azindua kambi kuhamasisha Uchaguzi Serikali za  Mitaa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wenye Changamoto Za Uhamisho Wa Wanafunzi,Tumieni Banda La Waziri Mkuu Sabasab
Next Article Sekta Ya Benki Iko Imara- Gavana BOT
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Teknolojia Ya SmartShamba Planter Yageuza Dakika 30 Kuwa Tumaini La Mkulima
Makala August 25, 2026
OUT: Elimu Sasa Kiganjani
Habari Uncategorized August 24, 2026
NGARUMA VTC  Kutoa Mafunzo Katika Fani Mbalimbali Za Ufundi
Habari August 24, 2026
VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?