MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wenye Changamoto Za Uhamisho Wa Wanafunzi,Tumieni Banda La Waziri Mkuu Sabasab
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wenye Changamoto Za Uhamisho Wa Wanafunzi,Tumieni Banda La Waziri Mkuu Sabasab
Habari

Wenye Changamoto Za Uhamisho Wa Wanafunzi,Tumieni Banda La Waziri Mkuu Sabasab

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Lyatuu

NAIBU Waziri Wa Ofisi ya  Rais, Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa,(TAMISEMI), anayeshughulikia masuala ya afya Dkt Jafar Rajab Seif  amewataka wananchi wenye changamoto mbalimbali ikiwemo uhamisho wa wanafunzi kutumia banda la Waziri Mkuu kupata suluhu.
Amesema hayo alipotembelea banda hilo na kwamba changamoto hizo zinaweza kutatuliwa  kupitia banda  hilo ambalo linakutanisha taasisi zote zilizopo chini ya Waziri Mkuu,lililoko katika maonesho ya 50 ya biashara ya kimataifa maarufu kama sabasaba.
Habari Picha 12772
Amesema banda la Waziri Mkuu katika maonesho hayo limekutanisha kwa pamoja  taasisi zilizoko chini yake zikitoa huduma kwa wakati na kwa  ufasaha na weledi kwa kusikiliza changamoto za wananchi na kuzitatua.
“Kwa hizi siku zilizosalia wananchi waje hasa wenye changamoto ya uhamisho wa wanafunzi wao waliopangwa eneo ambalo kuna changamoto za kufika huko,” amesema na kuongeza kuwa watahudumiwa kwa wakati.
Habari Picha 12773
Amesema katika banda hilo kuna huduma mbalimbali za uwekezaji,masuala ya afya,huduma za ujenzi wa barabara mijini na vijijini,nahata wanaofuatilia mafao kaa wafanyakazi na wenye changamoto kazini pia wanaweza kupata huduma.
Aidha amesema katika banda hilo wananchi wanaweza kupata huduma  ya elimu yammasuala mbalimbalinhivuo wananchi watumie fursa hiyo kwa ajili ya kupata manufaa.

You Might Also Like

Wagombea Wa CCM Dodoma Mjini Waanza Kujinadi kwa Wajumbe

CWT Yashauri Walimu Wasiwe Wasimamizi Wa Miradi

SOKO LA MADINI LA 43 LA ZINDULIWA TUNDURU RUVUMA.

MOI Kuendesha Kambi Maalum Ya Uchunguzi,  Ushauri Wa Kitabibu Kwa Wazee

Ridhiwan Azindua Jengo La Biashara La TUCTA-Arusha

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Maabara Za TARURA Nguzo Ya Ubora Wa Miradi Ya Barabara Na Madaraja Nchini
Next Article Usafiri Wa Meli Ni Salama, TASHICO Yaahidi Kuuimarisha Zaidi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfuko Wa Utamaduni Watoa Sh Bil 14.7 Kwa Miradi Ya Sanaa
Habari August 26, 2026
BMT Kutumia Tamasha La Taifa La  Utamaduni Kuelimisha Wananchi Kuhusu Fursa Za Afcon
Habari August 26, 2026
Teknolojia Ya SmartShamba Planter Yageuza Dakika 30 Kuwa Tumaini La Mkulima
Makala August 25, 2026
OUT: Elimu Sasa Kiganjani
Habari Uncategorized August 24, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?