MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: AGITF Kutekeleza Dira Kwa Kasi Kwa Kuwezesha Wakulima Kunufaika Na Mikopo Ya Bei Nafuu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > AGITF Kutekeleza Dira Kwa Kasi Kwa Kuwezesha Wakulima Kunufaika Na Mikopo Ya Bei Nafuu
Habari

AGITF Kutekeleza Dira Kwa Kasi Kwa Kuwezesha Wakulima Kunufaika Na Mikopo Ya Bei Nafuu

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
MFUKO wa udhamini wa pembejeo za kilimo nchini, umeahidi kutekeleza dira ya Taifa ya  maendeleo 2050 kwa kasi kwa kuhakikisha  wakulima wengi wanaendelea kunufaika na mfuko huo ikiwemo kuwezeshwa katika mikopo ya bei nafuu ili kuwawezesha kujikita na kunufaika na kazi zao.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo, Mwanahiba Mzee  katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere  Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Amesema taasisi yake imejipanga kuendana na Kasi ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuelekea utekelezaji wa dira2050.
“Mwaka huu wa fedha ambao tumeanza nao, sisi tumejipanga kuendana na kasi ya Rais na ukiwa ni mwaka wa kwanza wa utekeleza dira ya 2050, hii ni sehemu ya kwanza, sisi tumejipanga kwenda kufanya mahusiano au mashirikiano na taasisi za fedha ili mikopo ipatikane kwa Kasi na ipatikane kwa wingi kwa Tanzania nzima, ili wakulima wetu wasipate shida kupata mikopo ya bei na masharti nafuu ambapo itawaweza kulima kwa tija ili kuongeza kipato chao, kipato cha taifa, kuongeza ajira.
Tumejipanga kuwasilisha au kutekeleza mpango wa mwaka wa kwanza wa dira ya Taifa kwenye upande wa kilimo ikuhusiana na ajira na hasa kwa  vijana na  wanawake ambapo Rais anataka kuwekeza zaidi huko kwa sababu ndio nguvu kubwa ya Taifa.

You Might Also Like

Wakandarasi Miradi wa  TAZA Watakiwa Kukamilisha Kazi kwa Wakati 

Viongozi Wa Dini Zote Wajifungie Kuomba,Kujadili Na Kutoa Mapendekezo-SAU

Idadi Ya Wagonjwa Wa Magonjwa Yasiyoambukiza Kuongezeka

UDSM Yamtunuku Rais AfDB Shahada Ya Heshima Ya Sayansi

Stamico Yahimiza Ubunifu, Uaminifu Na Kujituma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ziwa Ngozi Lavuta Mamia Sabasaba, Wageni Washangazwa Na Ramani Ya Afrika Juu Ya Mlima
Next Article Maabara Za TARURA Nguzo Ya Ubora Wa Miradi Ya Barabara Na Madaraja Nchini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

OUT: Elimu Sasa Kiganjani
Habari Uncategorized August 24, 2026
NGARUMA VTC  Kutoa Mafunzo Katika Fani Mbalimbali Za Ufundi
Habari August 24, 2026
VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?