MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania Yalenga Kufikia Asilimia 51 Ya Ushiriki Wa Wanawake Katika Sayansi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania Yalenga Kufikia Asilimia 51 Ya Ushiriki Wa Wanawake Katika Sayansi
Habari

Tanzania Yalenga Kufikia Asilimia 51 Ya Ushiriki Wa Wanawake Katika Sayansi

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
WAZIRI  wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amesema  ushiriki wa Wanawake na Wasichana katika sayansi ni nyenzo muhimu ya maendeleo ya Taifa kiuchumi.
Amesema Tanzania inalenga kufikia angalau asilimia 51 ya ushiriki wa wanawake katika sayansi na kwamba Serikali inaendelea kuwekeza ili kuongeza wataalam katika nyanja hiyo.
Habari Picha 11259
Profesa Mkenda ametoa kauli hiyo jijini Dodoma katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi, akieleza kuwa sayansi ni msingi wa maendeleo kwani huongeza tija katika uzalishaji na kutoa suluhisho la changamoto mbalimbali kijamii kupitia tafiti na matumizi ya teknolojia.
 Amesema  takwimu zinaonesha takribani  wanawake asilimia 36 Duniani, ni wataalamu wa sayansi na kwamba Tanzania inalenga kufikia angalau asilimia 51 ya ushiriki wa wanawake..
 Aidha, ameeleza kuwa Serikali imeendelea kuongeza fursa za elimu, ikiwemo ufadhili wa masomo kupitia Samia Skolashipu, kwa lengo la kuhamasisha wanafunzi kusoma fani za Sayansi, TEHAMA, Uhandisi na Sayansi Asilia.
 Maadhimisho ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi kwa mwaka 2026 yamekwenda sanjari  na uzinduzi wa Kampeni ya “Africa Educate Her” nchini Tanzania, inayolenga kuongeza upatikanaji wa elimu kwa wasichana na kuwapa fursa sawa za kujifunza na kufanikiwa.

You Might Also Like

Watu Milioni 300 Afrika Kutumia Nishati Ya Umeme Ifikapi 2030-Biteko

Serikali yazindua Sera ya Taifa ya Kinga ya Jamii na ‘Hifadhi Scheme’ kwa Waliojiajiri

Chatanda Ampongeza Samia, Aahidi Kuinua Wanawake Kiuchumi

Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam

Serikali yatambua deni la Kiwira Coal Mine Bill.1.52

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Makamu wa Rais Asisitiza Ubunifu, Uwekezaji Soko La Hisa La Dar es Salaam
Next Article Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

DC Kondoa  Aipongeza TFS Kwa Teknolojia Ya Uhifadhi Wa Misitu Na Utali
Habari August 8, 2026
Waziri Nanauka Aipongeza   TARURA Kwa Mpango Wa  CBRM ‎
Habari August 8, 2026
PURA Yawataka Watanzania Kujenga Uwezo Kunufaika Na Sekta Ya Mafuta Na Gesi
Habari August 8, 2026
COSTECH Yapambania Haki Za Wabunifu, Yalenga Kupeleka Bunifu Sokoni
Habari August 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?