MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Msigwa Asisitiza Mabonanza Ya Michezo Na Sio Kukusanyika Kuvuruga Amani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Msigwa Asisitiza Mabonanza Ya Michezo Na Sio Kukusanyika Kuvuruga Amani
Habari

Msigwa Asisitiza Mabonanza Ya Michezo Na Sio Kukusanyika Kuvuruga Amani

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Dodoma
MSEMAJI Mkuu wa Serikali,Gerson Msigwa ametumia  bonanza la CRDB Bank Grand Bunge 2026  kuhamasisha jamii kukusanyika kwenye masuala yanayohusu michezo na sio yale ya kuvuruga amani ya nchi.
Amesema hayo wakati akizungumza katika bonanza hilo lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri na kushirikisha  wabunge, mabalozi wanaowakilisha nchi zao pamoja na wadau wa michezo ambao wameonesha umoja na ushirikiano.
Katika bonanza hilo matembezi yameanzia katika viwanja vya Bunge kuelekea uwanja wa Jamhuri yakiongozwa na Naibu Spika Daniel Sillo yakiongozwa pia na kauli mbiu isemayo ” Pamoja AFCON 2027  Tanzania Tupo Tayari.
Akizungumza Msigwa amesema kupitia AFCON Tanzania itanufaika na utalii,biashara,uchumi kukua na kuongeza kuwa mabonanza kama hayo yana umuhimu mkubwakujenga amani na ushirikiano.
Habari Picha 12510

Habari Picha 12511
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Abdulmajid Nsekela amesema Benki itaendelea kutumia majukwaa ya michezo kuhamasisha afya, mshikamano na maendeleo ya jamii, sambamba na kuimarisha mahusiano na wadau mbalimbali nchini.
Ameeleza kuwa Benki ya CRDB inaendelea kuunga mkono juhudi za Taifa katika maandalizi ya AFCON 2027, ikitambua nafasi ya michezo katika kukuza uchumi, kuimarisha taswira ya nchi na kuleta fursa kwa Watanzania.
Amesisitiza kuwa Benki itaendelea kuwa mshirika wa maendeleo katika sekta mbalimbali ikiwemo michezo, kwa lengo la kuchangia ustawi wa Taifa na wananchi  kwa ujumla.
Naibu Spika Sillo amesema bonanza linajenga afya na kuipongeza serikali kukubali AFCON kufanyika nchini.

You Might Also Like

Wiki ya Huduma za Fedha: SELF Yafungua Fursa za Kiuchumi kwa Wananchi Tanga

Zabibu Ya Makutupora Nyekundu Yatajwa Kuwa Ya Kipekee Duniani

COSOTA Yapokea Migogoro 136 Ndani Ya Miaka Minne

ILO Yazindua Mwongozo Wa Habari Za Uhamiaji, Jowuta Yatia Neno

Wasilisheni Migogoro Yenu Tume ya Usuluhishi na Uamuzi – Massawe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Bodi Ya Usajili Wabunifu Majengo Yapeleka Mahakamani Mashauri 300 Ya Ujenzi Usiozingatia Taratibu
Next Article Serikali Yawahamasisha Vijana Kurasimisha Ujuzi Kupitia Programu ya Mama Samia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfumo Wa Kidijitali Wa PSSSF Wamvutia Mkurugenzi Wa BOT
Habari August 5, 2026
FAO Yasisitiza Kutowapa Mifugo Dawa Bila Maelekezo Ya Watalaam
Habari August 5, 2026
Balozi Wa Kudumu Wa Mashirika Ya UN Atembelea FAO Nanenane
Habari August 5, 2026
Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026
Habari August 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?