MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mkutano wa Mawaziri wa SADC Wahitimishwa Pretoria
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mkutano wa Mawaziri wa SADC Wahitimishwa Pretoria
Habari

Mkutano wa Mawaziri wa SADC Wahitimishwa Pretoria

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
PRETORIA, AFRIKA KUSINI: MKUTANO wa siku mbili wa Baraza la Mawaziri wa jumuiya ya kikanda ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) umehitimishwa jijini Pretoria nchini Afrika Kusini Machi 13, 2026.
Mkutano huo ulilenga kuongeza kasi ya mtangamano wa kikanda ili kuharakisha maendeleo, kutengeneza ajira, kuimarisha usalama wa chakula na kuongeza upatikanaji wa nishati kwa wananchi wa nchi wanachama.
Habari Picha 11465
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo uliongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ngwaru Maghembe, akifuatana na Naibu Waziri wa Fedha, Laurent Luswetula.
Akizungumza wakati wa kufunga mkutano huo, Mwenyekiti wa mkutano ambaye pia ni Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika Kusini, Ronald Lamola, amesisitiza umuhimu wa nchi wanachama kudumisha umoja na mshikamano ili kuhakikisha maazimio yote yaliyokubaliwa yanatekelezwa kikamilifu.
Habari Picha 11466
Katika majadiliano yao, Mawaziri wamesisitiza umuhimu wa kuharakisha utekelezaji wa miradi ya kikanda, hususan ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji, matumizi ya nishati safi na kuongeza uwekezaji katika sekta ya viwanda.
Aidha, mkutano huo ulijadili utekelezaji wa bajeti ya SADC kwa mwaka wa fedha 2025/2026 na maandalizi ya bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027.
Habari Picha 11467
Wakati wa mkutano huo, nchi wanachama pia zilitahadharishwa kuhusu kuongezeka kwa taharuki katika siasa za kimataifa pamoja na vita vinavyoendelea katika Mashariki ya Kati, hali inayoweza kuathiri uchumi wa nchi za SADC na dunia kwa ujumla.
Mkutano huo ulitanguliwa na vikao vya Kamati ya Makatibu Wakuu pamoja na Kamati ya Fedha, ambavyo vilikuwa na jukumu la kuandaa ajenda na kuwasilisha ripoti mbalimbali za utekelezaji kwa ajili ya majadiliano ya Mawaziri.
Habari Picha 11468

You Might Also Like

Wizara Ya Viwanda Kutekeleza Vipaumbele Saba, Ipo  Miradi Ya Viwanda Ya  Kimkakati

Watafiti Mradi Wa  AGRISPAK kutoka SUA Waanza Uandaaji Wa Vitabu Vidogo

Wanaosimamia Mitandao Ya Serikali Wadhibiti Usalama Wake

SELF Yahamasisha Wananchi Kunufaika na Mikopo Nafuu ya Maendeleo

OSHA Yatoa Gawio Kwa Serikali Zaidi  Ya Bilioni 10

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania, Afrika Kusini Zakubaliana Kuharakisha Makubaliano ya Ushirikiano
Next Article Rais Samia Awekeza Mabilioni Kuboresha Sekta ya Uvuvi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kutoka Wazo Rahisi Hadi Mapinduzi ya Kilimo: Safari ya Rafiki Planter Inayosimulia Miaka 40 ya COSTECH
Makala July 28, 2026
Ndejembi Ashuhudia Utiaji Saini Wa Mkataba Wa Sh Bilioni 204.7 Wa Mradi Wa Umeme Wa Jua Wa Megawati 100 Kishapu
Habari July 27, 2026
Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?