MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: CHAUMMA Kuja Na Mpango Wa Masoko Ya Kisasa Dar es Salaam
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > CHAUMMA Kuja Na Mpango Wa Masoko Ya Kisasa Dar es Salaam
Habari

CHAUMMA Kuja Na Mpango Wa Masoko Ya Kisasa Dar es Salaam

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Weti
DAR ES SALAAM; MGOMBEA urais wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, amesema endapo atapata ridhaa ya kuiongoza Tanzania atahakikisha anaboresha miundombinu ya masoko ya bidhaa za vyakula katika Jiji la Dar es Salaam, ikiwa ni pamoja na kujenga masoko ya kisasa ili kuwawezesha wafanyabiashara kukuza mitaji yao kupitia biashara wanazozitekeleza.
Mwalim, akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Msasani jijini Dar es Salaam wakati akiomba kura kwa wananchi wakichague chama hicho, huku akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe (CHAUMMA), Doricas Fransis, amesema hali ya masoko haiendani na hadhi ya jiji.
Habari Picha 9889
Amesema ili kuleta maendeleo ya kimageuzi na kimkakati, serikali ya CHAUMMA itajenga masoko ya kisasa na kuwawezesha wafanyabiashara ruzuku ili wakuze mitaji yao na kuongeza mapato ya nchi.

You Might Also Like

Tanzania Yatumia Wiki Ya Nishari India Kunadi Vitalu Vya Mafuta Na Gesi Asilia

Taasisi za Elimu Geita Zatakiwa Kuanza Programu ya Maziwa Shuleni

Profesa Ndunguru: Teknolojia ya Vinasaba Yafungua Ukurasa Mpya Katika Kilimo

SGR Kipande Cha Saba Na Nane kuanza kujengwa

Lugendo Awataka Wananchi Kujenga Tabia Ya Kufanya Usafi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Yawasilisha Teknolojia ya Hybrid Katika Maadhimisho ya Wiki ya Vijana
Next Article TTCL Kuboresha Mifumo Kwa Kutumia Teknolojia Za Kisasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TPHPA Yatumia Mbinu za Kibaiolojia Kudhibiti Gugu Ziwa Victoria
Habari May 24, 2026
Wizara Ya Viwanda Kutekeleza Vipaumbele Saba, Ipo  Miradi Ya Viwanda Ya  Kimkakati
Habari May 22, 2026
Biashara 15 Hazitakiwi Kufanywa Na Wageni Ndani Ya Nchi
Habari May 22, 2026
Wadau wataka mifumo jumuishi kupunguza mzigo wa malezi kwa wenye ulemavu
Habari May 21, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?