MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Hiari Upo Kwa Ajili ya Watanzania – Kabonaki
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Hiari Upo Kwa Ajili ya Watanzania – Kabonaki
Habari

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Hiari Upo Kwa Ajili ya Watanzania – Kabonaki

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

“WENGI wanapokosa kipato wanapata shida, ili kuwe na mwendelezo wa kipato mfuko upo kwa ajili ya kuchukua nafasi hiyo,”.
Mwendeshaji Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Hiari(WRF), Muchunguzi Kabonaki amesema hayo wakati akizungumza na Mwandishi wa MFANYAKAZI.
Kabonaki amesema lengo la kuanzishwa kwa mfuko huo ni kuhakikisha watanzania wengi wanapata huduma ya hifadhi ya jamii.
Ameshauri watanzania kutumia fursa hiyo ya kujiwekea hifadhi kwa siku ambazo hawatakuwa na nguvu ya kuzalisha kipato.
Pia amesema kanuni ya mfuko huo ni kila mwanachama kuchangia angalau shilingi 10,000 kwa mwezi kupitia kwa mwajiri ama mwanachama mwenyewe kulipa mchango wake.
Kwa upande mwingine amesema mfuko huo upo kwenye mazungumzo na kampuni za simu ili wanachama walipe kupitia mitandao ya simu.
Vile vile amesema wanatarajia kuutanganza mfuko huo kuanzia Oktoba mwaka huu, kwa kuzungumza na waajiri, kuendesha semina na Maofisa Utumishi pamoja na kutumia vyombo vya habari.
Mfuko huo umeanzishwa mwaka jana kwa lengo la kutoa hifadhi ya jamii ya nyongeza kwa wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA), na  Sekta Isiyo Rasmi.

You Might Also Like

Tunaunga mkono jitihada za Rais Samia katika Utalii

TARI Yawapa Elimu Wakulima, Maofisa Ugani 165 Kilimo Cha Matunda

SIDO jengeni viwanda 20 Kila mkoa-Jafo

TEA, Wadau Kuwezesha Matumizi Safi Nishati Ya Kupikia Mashuleni

Tanzania Kushirikiana na Finland Uboreshaji Mbegu za Miti

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Jengo la Uwekezaji la Wafanyakazi Kufunguliwa Novemba 
Next Article Boti yazama abiria 14 kati ya 21 waokolewa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?