Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 7, 2026
Habari Author 9

Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa

 

Habari Picha 10774

 

 RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Rais  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar Januari 08, 2026.

Habari Picha 10775

 

 PIC 1  RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar Januari 08, 2026.

 

Habari Picha 10776

 PIC 3 RAIS  Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Jengo la Taaluma na Utawala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar Januari 08, 2026.

Habari Picha 10777

 

Pic 4 RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Jengo la Taaluma na Utawala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari mara baada ya uzinduzi uliofanyika Buyu, Zanzibar Januari 08, 2026.

Habari Picha 10778

 

RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais Mstaafu  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuzindua Jengo la Taaluma na Utawala na Bweni la Wanafunzi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari, Buyu Zanzibar Januari  08, 2026.

 

Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.