MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mabasi  Mapya Ya Mwendokasi Yaanza Kazi Njia Ya  Kimara, Gerezani na Kivukoni
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mabasi  Mapya Ya Mwendokasi Yaanza Kazi Njia Ya  Kimara, Gerezani na Kivukoni
Habari

Mabasi  Mapya Ya Mwendokasi Yaanza Kazi Njia Ya  Kimara, Gerezani na Kivukoni

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Lyatuu

MABASI  mapya yaendayo haraka ya kampuni ya Mofat yameonekana asubuhi ya leo (2 Oktoba 2025) yakihudumia abiria katika vituo vya mwendokasi kuanzia Gerezani kuelekea Kimara–Mbezi na Kivukoni.

Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutembelea kituo cha mwendokasi cha Kimara na kushuhudia changamoto kubwa za usafiri zinazowakabili wananchi.

Chalamila aliahidi kuongeza idadi ya mabasi ili kupunguza msongamano wa abiria unaoshuhudiwa kila siku katika jiji hilo.

Hata hivyo, hali ya usafiri  Dar es Salaam imeendelea kuwa na sintofahamu. Jana usiku, majira ya saa mbili, mabasi ya mwendokasi pamoja na baadhi ya vituo ikiwemo Gerezani, Magomeni Mapipa, Magomeni Usalama na Magomeni Kagera vilishambuliwa kwa mawe.

Aidha  sababu za mashambulizi hayo bado hazijabainishwa  bayana na mamlaka husika.

Habari Picha 9718

Awali, magari hayo mapya ya Kampuni ya Mofat yalitarajiwa kuanza kutoa huduma katika njia ya Mbagala. Lakini leo, yameanza kutumika kwenye barabara kuu ya Kimara,  Gerezani.

 

You Might Also Like

TRAWU Yapigania Wafanyakazi TAZARA Nyongeza Ya Mshahara

Kamati Ya Bunge Yapongeza Usimikaji Mfumo Wa Kidijitali CMA

Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura

Mgombea Urais Wa CCM, Dkt. Samia Aendelea Na Kampeni Temeke

Maganga Atembelea Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu, Maonesho Ya Wiki Ya Vijana Mbeya

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article CHAUMMA: Tupo Tayari Kupunguza Gharama za Maisha – Salum Mwalim
Next Article Sweden na UNFPA Kuwawezesha Vijana na Akina Mama Kituo cha Ufundi cha Yombo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Rais Samia Atangaza Baraza Jipya La Mawaziri
Habari November 17, 2025
Vijana Wahimizwa Kuweka Akiba
Habari November 17, 2025
Rais Samia Amwonya Mwigulu Dhidi Ya Vishawishi
Habari November 14, 2025
ICGLR Yajipanga Kujiimarisha Amani Katika Kanda
Habari November 14, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?