MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania Ipo Tayari Kwa Mazungumzo Ya Urejeshwaji Malikale
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania Ipo Tayari Kwa Mazungumzo Ya Urejeshwaji Malikale
Habari

Tanzania Ipo Tayari Kwa Mazungumzo Ya Urejeshwaji Malikale

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Tanzania ipo tayari kuanza majadiliano kuhusu urejeshwaji wa mikusanyo ya malikale na masalia ya miili ya binadamu iliyochukuliwa na Ujerumani wakati wa ukoloni

Chana aliyasema hayo kwenye Uzinduzi wa Onesho la pamoja kati ya Tanzania na Ujerumani kuhusu Historia za Tanzania lililowekwa katika Jumba la Humboldt mjini Berlin, Ujerumani

Akiongea kwa njia ya mtandao amesema Kamati ya Majadiliano tayari imeundwa na mawasiliano yanaendelea kwa upande wa Ujerumani kupitia njia za kidiplomasia.

“Kuwekwa kwa Onesho hili la pamoja pia ni ishara nzuri ya kwamba Serikali ya Ujerumani ipo tayari kurejesha heshima ya utamaduni wa Mtanzania na kuweka alama ya uwajibikaji wa kudumu na uwajibikaji wa kimaadili kwa historia ya ukoloni iliyotweza utu na ustawi wa Mtanzania” alisema Chana.

Uzinduzi huo ulihudhuriwa na Waziri wa Utamaduni na Habari wa Ujerumani, Claudia Roth, Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Hassan Iddi Mwamweta, Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa la Taifa, Dr. Noel Lwoga, Mkurugenzi Mkuu wa Humboldt Forum Profesa Hartmut Deorgerloh, na baadhi ya Machifu na wanajamii kutoka Tanzania. baadhi ya machifu na wanajamii kutoka Tanzania.

You Might Also Like

Tutumie Mitandao Kwa Matumizi Yenye Manufaa – Kilimbe

Mbunge Ulanga Aweka Mikakati Kuufungua Mkoa wa Morogoro Kimaendeleo

TTCL Yafanya Maboresho Makubwa Kwa Watumiaji

Simbachawene: Nitaheshimu Mfumo Wa Uongozi Na Kushirikiana

Naibu Waziri Katambi aagiza CMA kutoa mafunzo kwa njia ya mtandao

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Matumizi Ya Baiteknolojia Nchini ni Madogo – Profesa Yanda
Next Article Waziri Mkuu Majaliwa Akoshwa Na Tafiti Ya Mhitimu OUT
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TTCL Yatumia Nanenane Kuelimisha Kuhusu Huduma Ya Kuhifadhi Taarifa Kidijitali
Habari August 3, 2026
Nishati Ni Chachu Ya Kilimo, Uchumi Na Maendeleo  Ya Vijijini – Saidy
Habari August 3, 2026
August 3, 2026
Habari August 3, 2026
TAMCU Yapaa Kwa Uwekezaji,Yafikisha Thamani Ya Sh  Bilioni Tano
Habari August 3, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?