MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Luswetula Aagiza Udhibiti Mkali wa Mikopo Kandamizi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Luswetula Aagiza Udhibiti Mkali wa Mikopo Kandamizi
Habari

Luswetula Aagiza Udhibiti Mkali wa Mikopo Kandamizi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
NAIBU Waziri wa Fedha, Laurent Luswetula, amezitaka mamlaka husika ikiwemo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuimarisha udhibiti wa sekta ya fedha ili kuwalinda wananchi dhidi ya mikopo kandamizi inayotolewa na taasisi zisizo rasmi, maarufu kama mikopo kausha damu.
Agizo hilo amelitoa wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea mkoani Tanga.
Amesema udhibiti madhubuti utasaidia kuzibaini taasisi na watu binafsi wanaotoa mikopo hiyo na kuchukua hatua za kisheria dhidi yao, hivyo kuzuia wananchi kupoteza mali na vitu vya thamani.
Luswetula aliwaonya watoa huduma za fedha wanaokiuka sheria, ikiwemo kufanya kazi bila kusajiliwa na BoT au mamlaka nyingine husika, kuacha mara moja vitendo hivyo.
Habari Picha 10880
Aidha, amewahimiza wananchi kuhakiki uhalali wa taasisi kabla ya kukopa na kusoma kwa makini mikataba ya mikopo ili kuepuka masharti kandamizi.
Akizungumzia sekta ya fedha, amesema kumekuwepo na mafanikio baada ya maboresho yaliyofanyika, ingawa bado changamoto ya uelewa mdogo wa masuala ya fedha ipo, ikiwemo matumizi ya huduma zisizo rasmi.
Amewahimiza wananchi kushiriki kikamilifu maadhimisho hayo katika viwanja vya Usagara, Tanga, kupata elimu ya fedha na huduma sahihi kama kuweka akiba, kukata bima na kuwekeza.
Habari Picha 10881
Pia amewataka waelimishaji wa masuala ya fedha kutoa elimu kwa lugha rahisi na kuzingatia maoni ya wananchi ili kuboresha sera na huduma za kifedha nchini.

You Might Also Like

Limeni mkonge unalipa – Maghali

Wagombea Wa CCM Dodoma Mjini Waanza Kujinadi kwa Wajumbe

Msomi Wa Afya, Fatuma Atia Nia Jimbo la Dodoma Mjini

Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 

Chalamila afanya ukaguzi mwenendo wa utoaji huduma Kivuko cha Feri

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mkurugenzi Mkuu Wa NSSF Aongoza Utoaji Wa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii Soko La Tegeta Nyuki
Next Article Wizara  Ya Maliasili Na Utalii Ilivyotamba Na Historia Ya Faru John Na Faru Fausta Mbele Ya Kamati Ya Bunge
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

IITA Yawekeza Bilioni 410 Tanzania Kuimarisha Kilimo, Utafiti
Habari May 9, 2026
Vyuo Vikuu Vyahitaji Mkakati Madhubuti wa Tafiti — Yanda
Habari May 8, 2026
Asilimia 26 Ya Wanawake Ndio Wanaoamini Kuwa Na Uhuru Wa Kufanya Maamuzi Ya Kufanya Shughuli Za Uchumi
Habari May 8, 2026
Kesi 100 Za Wananchi Zasikilizwa Na Kupatiwa Suluhu Katiba Na Sheria
Habari May 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?