MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Dada wa kazi aliyejeruhi akamatwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Dada wa kazi aliyejeruhi akamatwa
Habari

Dada wa kazi aliyejeruhi akamatwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam  limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa  aliyekuwa mfanyakazi wa  ndani aitwaye Clemensia Cosmas Mirembe (19) akiwa amejificha kwenye “pagala” maeneo ya Goba Kizudi Kinondoni.
Mfanyakazi huyo anadaiwa kukimbia baada ya kufanya tukio baya la kikatili la kumjeruhi kwa kitu chenye ncha kali maeneo
ya shingoni mtoto Malick Hashim (6) anayeishi eneo la Goba Kinzudi, Kinondoni.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Kanda hiyo,Jumanne Muliro upelelezi wa
tukio hilo la kikatili ulianza mara moja na Julia  21 2024 saa 4:00
usiku .
Amesema Julai 17 l, 2024 Jeshi Hilo  lilitoa taarifa kuhusu dada wa kazi kufanya tukio baya la kikatili la kumjeruhi kwa kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni mtoto Malick Hashim (6) anayeishi eneo la Goba Kinzudi, Kinondoni.
Amesema baada ya tukio hilo mtuhumiwa alikimbia.
Kamanda Muliro amesema mtuhumiwa huyo anahojiwa kwa kina na atafikishwa mahakamani haraka iwezekanavyo
kwa hatua zaidi za kisheria.
Amesema  Jeshi la Polisi  linatoka wito kuwa pamoja na jitihada ambazo zinaendelea za kuzuia vitendo vya kihalifu linawashauri wazazi, walezi, walimu, na jamii kwa ujumla kuwafundisha watoto kujenga tabia ya kutembea katika makuni.
Pia wasikubali kuwakaribu na watu wasiowafahamu, watoto wasitumwe maeneo ambayo kwa mazingira ni hatarishi ikiwa ni pamoja na kuacha kuwatuma watoto wadogo maeneo mbalimbali nyakati za usiku.
Amesema   usalama katika jiji la Dar es Salaam umeimarishwa kwenye maeneo mbalimbali na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kushirikiana na vyombo vya dola na wananchi kwa ujumla ili kundeleza jitihada zake za kuzuia vitendo vya kihalifu.

You Might Also Like

Waomba Kuondolewa Vikwazo Vya Biashara Ya Mazao Ya Kilimo Ikolojia Mipakani

Mgombea Urais Wa CCM, Dkt. Samia Aendelea Na Kampeni Temeke

Kutofuata sheria chanzo kikuu cha migogoro ya kazi – CMA

Ridhiwani, Mlao na wanachama wa CCM Kata ya Bwilingu wakinadi chama chao dakika za lala salama

Kamati Ya Bunge Yahimiza Maslahi Ya Watumishi Wapya Yazingatiwe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Sheria ya ajira, mahusiano kazini ipitiwe upya
Next Article Kadi za mpiga kura zenye jina la zamani la Tume ni halali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vidukari Hatari Vyafuatiliwa Mikoa 17 Kulinda Zao la Mpunga
Makala June 5, 2026
KARIBU ESCAPE LODGE SERENGETI – NYUMBA YAKO YA KIFAHARI KATIKATI YA UFALME WA WANYAMAPORI
Habari June 5, 2026
Sheria Ya  Kuzuia Shisha Kutungwa, Yabainika Kuwekwa Dawa Za Kulevya
Habari May 29, 2026
Waraibu Wa Dawa Za Kulevya 85,425  Wapatiwa Huduma Ya Tiba Nchini Kwa Mwaka 2025
Habari May 29, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?