MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: CCM  Yapokea Mapendekezo Ya Tume Ya Kuchunguza Vurugu Za Uchaguzi Oktoba 25,2025
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > CCM  Yapokea Mapendekezo Ya Tume Ya Kuchunguza Vurugu Za Uchaguzi Oktoba 25,2025
Habari

CCM  Yapokea Mapendekezo Ya Tume Ya Kuchunguza Vurugu Za Uchaguzi Oktoba 25,2025

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
CHAMA  Cha Mapinduzi (CCM) kimeipokea kwa uzito mkubwa ripoti ya Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku kikieleza kuwa mapendekezo yaliyotolewa ni msingi wa kuliponya taifa na kuimarisha umoja wa Watanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari  Dodoma Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo,  Kenani Kihongosi  amesema CCM inatambua umuhimu wa ripoti hiyo katika kutathmini matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Amesema Chama kimechukua fursa hiyo kumpongeza kwa dhati Mwenyekiti wa CCM na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uamuzi wake wa kishujaa wa kuunda tume hiyo kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32).
“Tunampongeza Mheshimiwa Rais kwa maono yake. Tume hii imefanya kazi kwa uhuru, weledi, na uzalendo wa hali ya juu, jambo ambalo linaonyesha ukomavu wa demokrasia yetu,” amesema Katibu huyo.
Aidha, CCM imemwagia sifa Tume hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Jaji Mkuu Mstaafu Mohammed Othman Chande, kwa namna walivyotekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa na kuzingatia maslahi mapana ya nchi.
Ameongeza kuwa  Tume hiyo ilifanya kazi kwa weledi wa hali ya juu na kwamba CCM inaunga mkono mapendekezo yaliyotolewa na Tume hiyo na itaendelea kutoa ushirikiano wa ,ila hali pindi itakapohitajika.
Kuhusu maridhiano Chama kinatoa wito kwa makundi yote kutoa ushirikiano katika mazungumzo na maridhiano na kukubaliana kama nchi ili kuondoa mpasuko ndani ya nchi.

You Might Also Like

Vikao vya Kamati za Bunge Kuanza Januari 13, 2026 Dodoma

Mafunzo ya Ufundi Sasa Kupatikana Popote Kupitia Programu ya VSOMO”

Manyara Kusambaza Mitungi 16,275 ya Gesi kwa Bei ya Ruzuku

Majaliwa: Anwani Za Makazi Kupunguza  Safari Kwa Viongozi

TEHAMA Kuchochea Uchumi wa Kidijitali, Serikali Yatenga Sh Bil Tano Kwa Kampuni Changa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mitandao Ya Kijamii Ilinde Maadili Ya Kitanzania-Makonda
Next Article Wizara ya Maji Yawasilisha Vipaumbele 2026/2027 kwa Bajeti ya Trilioni 1.2
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfumo Wa  PPAA Waongeza Ufanisi  Kusimamia Malalamiko Ya Zabuni
Habari June 19, 2026
TBA Yakaribisha Wawekezaji Kushirikiana  Kwenye  Miradi Ya Ujenzi
Habari June 19, 2026
TOSCI Inatoa Elimu Ya Kufahamu Mbegu Bandia
Habari June 19, 2026
Jua Namba Zako Okoa Maisha Yako
Habari June 19, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?