MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Asali inayozalishwa nchini kukidhi ubora wa kimataifa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Asali inayozalishwa nchini kukidhi ubora wa kimataifa
Habari

Asali inayozalishwa nchini kukidhi ubora wa kimataifa

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM :NAIBU Waziri Wa Maliasili Na Utalii,  Dustan Kitundula amesema Serikali Imejidhatiti katika kuhakikisha asali Inayozalishwa nchini Inakidhi ubora wa Kimataifa, hali itakayosaidia kuongeza mchango wa sekta ndogo ya nyuki katika ukiaji wa uchumi wa nchi.
Ameyasema Hayo leo Mkoani Dar es Salaam wakati wa Hafla ya Uwekaji Saini Itifaki Ya Kuuza Asali Ya Tanzania Nchini China.
Amesema  kwa sasa Mapato yatokanayo na asali na bidhaa za nyuki ni takribani dola milioni 77 kwa mwaka hivyo kusainiwa kwa Mkataba huo kutatoa fursa kwa watanzania kuongeza uzalishaji zaidi.
Kwa Upande Wake Waziri Wa Utawala na Mkuu Wa Forodha Kutoka Jamhuri ya Watu wa China Yu Jianhua, amesema Nchi hiyo Ina Idadi kubwa ya watu na kwa Mwaka Inahitaji Takribani Tani Milioni 32
Hivyo ni fursa kwa watanzania kuongeza uzalishaji Ili kukidhi matakwa ya Soko hilo .
Naye Kaizirege Kamara ambaye ni mmoja wa Wafugaji wa Nyuki amesisitiza wadau wa sekta hiyo kuongeza uzalishaji huku akiipongeza Serikali kwa kuendelea kuongeza uwekezaji na kusaidia kukuza uchumi wa Wananchi.

You Might Also Like

DART Toeni Fursa Kwa Watanzania Kuwekeza kwenye Mwendokasi -Mchengerwa

Kamati Ya Bunge Yakunwa Na TEA 

Tanzania yqpata dola bilioni 2.3 kwa kuuza matunda, kunde nje

TRAWU Yapigania Wafanyakazi TAZARA Nyongeza Ya Mshahara

Mpango wa Shule Salama Unaongeza ulinzi Kwa Watoto

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali kushirikiana na Wadau usimamizi Taka za Plastiki
Next Article Rais Samia awasili Zimbabwe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
PURA Yajipanga Gesi Asilia Itumike Kwenye Magari
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?