MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kamati Ya Bunge Yapongeza Usimikaji Mfumo Wa Kidijitali CMA
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kamati Ya Bunge Yapongeza Usimikaji Mfumo Wa Kidijitali CMA
Habari

Kamati Ya Bunge Yapongeza Usimikaji Mfumo Wa Kidijitali CMA

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya jami, Fatma Toufiq ameipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa kusimika mfumo wa kidijitali wa utatuzi migogoro ya kikazi.
Mfumo huo utasaidia kuharakisha utatuzi na usuluhishi wa migogoro ya kikazi kwa wakati sambamba na kupunguza gharama za kutembea au kusafiri umbali mrefu kwa ajili ya kufuata huduma.
Toufiq amesema hayo leo Machi 15, 2025 alipoambatana na wajumbe wa kamati hiyo kwa ajili ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa mfumo huo wa usimamizi wa uendeshaji wa mashauri kidijitali katika ofisi za Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Jijini Dar es Salaam.
Kuhusu mfumo huo wa kidijitali, ameitaka CMA kuhakikisha inatoa elimu ya kutosha kwa umma ili wawe na uelewa wa namna mfumo huo unavyofanya kazi.
“Bado inahitajika elimu ya kutosha kwa kutumia mbinu mbalimbali, iwe kwa kutumia Radio, TV`, vikundi vya Sanaa na mitandao ya kijamii,” amesema.
Amesisitiza pia kuwe na njia maalumu ya utaoji elimu na upatikanaji taarifa kwa ajili ya watumiaji wa simu za kawaida maarufu kama viswaswadu ili makundi yote yaweze kuwa na ufahamu na uelewa wa utumiaji mfumo huo.
Vile vile kuwe na dawati la msaada kwa haraka kwa ajili ya kuwaelekeza wale wote wasiokuwa na ufahamu na mfumo wa kidijitali.
Katika hatua nyingine amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yake na kutoa zaidi ya Sh. Bilioni moja kuanzishwa kwa mfumo huo ambao utawarahishia waajiri na waajiriwa katika utatuzi wa migogoro kupitia njia ya mtandao.
Akizungumza katika kikao hicho Mkurugenzi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi, Usekelege Mpulla ameipongeza kamati kwa kuendelea kutetea bajeti ya Tume bungeni na ameihakikishia kamati kutekeleza na kufanyia kazi ushauri na maagizo yote yaliyotolewa na kamati.

You Might Also Like

Askari Wawili wa JWTZ Wafariki, Wanne Wajeruhiwa DRC

Tanzania, Japan Kushirikiana Ukuzaji Ujuzi Kwa Vijana

Aliyeachishwa kazi kulipwa miezi 12, stahiki nyingine

Mtindi wa Korosho, Stafeli Wafanyiwa Utafiti UDSM

Watanzania Tuendelee Kudumisha Amani-Dk Biteko

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tunatekeleza Azma YA Rais Samia Kuwafikia Wananchi Waliojiajiri
Next Article Mkurugenzi VETA Kasore Akiteta Jambo Na Mhitimu Fani Ya Ushonaji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?