MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Masauni Akabidhi Polisi Magari 77
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Masauni Akabidhi Polisi Magari 77
Habari

Masauni Akabidhi Polisi Magari 77

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amelikabidhi Jeshi la Polisi magari 77 kwa ajili kurahisha utekelezaji wa majukumu yake ya kusimamia usalama wa raia na mali zao.
hatua hiyo ni mwendelezo wa jitihada za Serikali kulifanya Jeshi hilo kuwa la kisasa lenye vifaa, na weledi wa kuzuia uhalifu.
Akikabidhi magari hayo, Waziri Masauni amelitaka Jeshi hilo kuhakikisha linayatumia vyema magari hayo kwa kupunguza malalamiko ya wananchi ikiwa ni sambamba na kuyatunza ili kuthamini jitihada zinazofanywa na Serikali.
Naye Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP),. Camillus Wambura ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuliwezesha Jeshi hilo kuwa la kisasa.
Amesema hivyo ni wajibu Polisi kuhakikisha uhalifu unaendelea kupungua huku akiwaasa madereva wa magari hayo kuzingatia sheria za usalama barabarani ili magari hayo yaweze kudumu.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Vita Kawawa ametoa rai kwa madereva wa magari hayo kupatiwa mafunzo, huku Mkurugenzi wa Kampuni ya Kifaru Motors, Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo akiahidi kuwa kampuni yake imejiandaa kulisaidia Jeshi hilo msaada kitaalamu, ushauri na kiufundi pale itakapohitajika.

You Might Also Like

Dada wa kazi aliyejeruhi akamatwa

Mpango Awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi

Mwalim: Lindi, Mtwara Tajiri kwa  Rasilimali, Maskini kwa Uongozi

Ridhiwani Aongoza Majadiliano Ya Taarifa Ya Utekelezaji Wa Majukumu PSSSF

Mabalozi Wa Utalii Waahidi Kuulinda Ushoroba Wa Kwakuchinja

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ajiandikisha Kijijijni Nandagala
Next Article Jeshi La Uhifadhi Wasisitizwa Kuzingatia Misingi ya Haki za Binadamu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

PDPC  Yashauriwa Kutoa Elimu Kuhusu Taarifa Binafsi 
Habari June 22, 2026
UCSAF  Kujenga Minara 287, Mradi  Wa Awamu Ya 10
Habari June 22, 2026
Shirikisho la Wanahabari  Afrika ya Mashariki (FEAJ) lakutana Mombasa
Habari June 22, 2026
Ujenzi Wa Barabara Ya King’ong’o, Kimara Umeanza-TARURA
Habari June 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?