MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TAKUKURU, Manispaa Ubungo Yawafikia Waendesha Bajaji, Bodaboda
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TAKUKURU, Manispaa Ubungo Yawafikia Waendesha Bajaji, Bodaboda
Habari

TAKUKURU, Manispaa Ubungo Yawafikia Waendesha Bajaji, Bodaboda

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: TAASISIi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo,  imetoa mafunzo mbalimbali kwa Chama cha Waendesha Bajaji na Bodaboda katika Manispaa hiyo.
Mafunzo hayo yameongozwa na Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Ubungo, Devotha Mihayo katika ukumbi wa Stazia mapema Leo Februari 26, 2025.
Akizungumza katika  jukwaa hilo la Maofisa Usafirishaji wa Kata ya Msigani.Mihayo amesisitiza juu ya umuhimu wa kufanya shughuli  kwa kufuata kanuni na taratibu za serikali, kujiepusha na vitendo vya Rushwa, kujali Afya zao pamoja na kuchangia mapato ya Halmashauri
“Maafisa usafirishaji mnalo jukumu la kujiunga vikundi ili serikali iweze kuwawezeshe kwenye shughuli zenu huku mkihakikisha mnajali na fya zenu kwa kuwa na bima za Afya,”  amesema.
Awali Meneja wa chanzo cha maegesho Manispaa ya Ubungo, Pascal Peter amewataka maofisa usafirishaji  hao kuhakikisha wanalipia ada zao za maegesho ili kuwa na sifa zote za kupata fursa mbalimbali ikiwemo fursa kubwa ya mikopo.
Vigezo vya kikundi kupata usajili wa maegesho ya kikundi ni pamoja na kuwa na TIN namba ya kikundi, katiba ya kikundi, barua ya kuomba usajili, kikundi kuwa na uongozi pamoja na sare.
Ada ya Kila mwanachama katika kikundi ni Sh. 30,000 kwa mwaka
Naye Ofisa maendeleo kata ya Msigani, Belia Benjamin ameeleza namna ya kupata mikopo ya asilimia 10 isiyo na riba ni kujiunga katika vikundi vya watu watano mpaka 30, kuwa na katiba, vitambulisho vya NIDA pamoja na usajili wa vikundi.
Mkutano huo umehudhuriwa na Mtendaji Kata ya Msigani, Ofisa Maendeleo ya Jamii Msigani, Maofisa Biashara, Viongozi wa Chama cha Bajaji na bodaboda pamoja na wanachama wao.

You Might Also Like

Tanzania Ipo Tayari Soko la Pamoja kuuziana Umeme – Biteko

Chuo Cha VETA Chazindua Mradi Wa Biogas

TEN/MET, LHRC Zataka Iwekwe Marufuku Matumizi Ya Viboko

Ulega Ataka Ushirikiano Miradi Ya Kimkakati Ikamilike Kwa Wakati

Ubovu wa Kituo cha Daladala Bunju Sokoni Watesa Abiria

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article DC Twange Apongeza Wananchi Kuchangia Maendeleo 
Next Article Mafanikio Ya Veta Katika Kuadhimisha Miaka 30:
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?