MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Polisi Kuimarisha Ulinzi Nyumba Za Ibada Krismasi, Mwaka Mpya
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Polisi Kuimarisha Ulinzi Nyumba Za Ibada Krismasi, Mwaka Mpya
Habari

Polisi Kuimarisha Ulinzi Nyumba Za Ibada Krismasi, Mwaka Mpya

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM:  VIKOSI vyote vya Jeshi la Polisi Kanda Maalun ya Dar es Salaam vimejipanga kuimarisha ulinzi kwenye nyumba za ibada ili kuwawezesha wananchi kushiriki ibada zilizoandaliwa msimu huu wa sikukuu za krismas 2024 na mwaka mpya 2025.
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema hayo alipozungumza na Waandishi wa Habari ofisiini kwake Leo Disemba 21, 2024 ikiwa ni maandalizi ya kuelekea sherehe za mwisho wa mwaka Krismas na mwaka mpya.
Muliro ametoa wito kwa wananchi kujiepusha na aina ya
vitendo ambavyo vinaweza kusababisha kutendeka kwa makosa ikiwemo kuendesha vyombo vya moto bila kuzingatia sheria za usalama barabarani.
i
“Kutumia vilevi wakiwa wanaendesha vyombo
vya moto , na mambo mengine yaliyo kinyume na sheria. Jeshi la Polisi halitasita kuchukua hatua kali na za haraka za kisheria kwa wote watakaobainika kutenda makosa hayo.
“Jeshi la Polisi linawaonya na kutao tahadhari watu wenye tabia ya kupiga baruti au fataki bila vibali vya kisheria na maeneo ambayo hayaruhusiwi na sheria, Polisi hawatasita kuchuka hatua kwa mtu yote atakayekiuka sheria za nchi kwa kisingizio cha kufanya mambo ya ovyo chini ya mwavuli wa Krismasi na mwaka mpya,” amesema.

You Might Also Like

Uzalishaji wa chuma kuanza nchini 

Kamati Ya Bunge Yakagua Mradi Wa Nyumba NSSF

Afrika yatakiwa kutokuwa na Matabaka katika kutekeleza AFCFTA 

Ofisi Zote Dodoma Kutoa Ushirikiano Kwa Watangazaji-RC

DKT. Biteko Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia Zanzibar

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article NSSF Kutekeleza Mradi Wa Uwekezaji Wa Jengo La Kitega Uchumi Dodoma
Next Article TARI Yawafikia Wakulima Kilosa, Kilimo Shadidi Cha Mpunga
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Dkt. Ndumbaro : Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Imefanikiwa 
Habari May 20, 2025
Senyamule Ahamasisha Ushiriki Wa Vijana Katika Uchaguzi
Habari May 20, 2025
Polisi Dodoma Yawataka Wananchi Kutoa Taarifa 
Habari May 20, 2025
Wanafunzi UDSM, UDOM Kushiriki Fainali Ya Kimataifa Mashindano Ya Chinese Brigde
Habari May 20, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?