MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mbunifu Alilia Uwepo Wa Miongozo Kwa Wagunduzi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mbunifu Alilia Uwepo Wa Miongozo Kwa Wagunduzi
Habari

Mbunifu Alilia Uwepo Wa Miongozo Kwa Wagunduzi

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DAR ES SALAAM: SERIKALI imeshauriwa kuangalia namna ya kuwepo kwa miongozo kwa ajili ya wagunduzi wa teknolojia mbalimbali.
Ushauri huo umetolewa na Mbunifu Ernest Maranya  kutoka Taasisi ya Elimu ya Mafunzo ya Ufundi  Stadi nchini (VETA),  wakati wa kongamano la  Kisayansi linalofanyika jijini Das Salaam lililoandaliwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),.
Amesema ili kuhakikisha wagunduzi na wabunifu wanaeleweka kisheria kuna kila sababu ya wadau wa elimu kuhakikisha inakuwa na muongozo kwa ajili ya wabunifu.
Kwa upande mwingine, Maranya amebuni kifaa kinachotoa elimu ya anga kwa kusema kuwa  ipo haja kwa Serikali kuangalia namna ya kuharakisha elimu ya anga kwa kutumia mfumo unaofanya kazi zaidi ambao utatumika shule zote.
Ameiomba serikali na wadau wa elimu nchini kumuunga mkono katika kufanikisha ubunifu anaoufanya.
Amesema pamoja na kugundua mfumo huo bado haujaanza kutumika mashuleni.

You Might Also Like

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani, Mwenyekiti wa CCM Pwani, wawanadi wagombea wa CCM

VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo

Kipanga: Lugha ya Kichina Inakuza Diplomasia, Kuimarisha Uhusiano

Serikali Yazidi Kuhamasisha Nishati Safi, Yatoa Mitungi 225 Kwa Watumishi Gereza kuu Maweni

BRAC Tanzania: Upo Umuhimu Sekta Binafsi, Serikali Kushirikiana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA Yatafiti Dawa Ya UTI, Fangasi
Next Article Matumizi Ya Baiteknolojia Nchini ni Madogo – Profesa Yanda
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Fema Mining & Drilling Mfano wa Kuigwa – Musukuma
Habari September 23, 2025
Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?