MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Muswada wa Kuwalinda Wafanyakazi wa Ndani Waja
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Muswada wa Kuwalinda Wafanyakazi wa Ndani Waja
Habari

Muswada wa Kuwalinda Wafanyakazi wa Ndani Waja

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete, amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za kuupeleka muswada wa wafanyakazi wa ndani, katika bunge linalokuja.
Ridhiwan amesema hayo  Ofisini kwake alipotembelewa na  Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakaz Tanzaniai ( TUCTA), Tumaini Nyamhokya, Mhariri Mkuu wa Gazeti la MFANYAKAZI  Shani Kibwasali pamoja na waandishi wa gazeti hilo.
Amesema, ” Katika moja ya jambo kubwa tunaenda kulifanya kisasa ni juu ya maisha ya mtumishi wa ndani.
“Kwamba unajua sasa hivi mimi nikikuchukua ukafanya kazi kwangu za ndani, utaishi ninavyotaka mimi, bila kujali pia mfanyakazi huyu wa ndani ana haki zake kama binadamu.
Ridhiwan  Kikwete ameeleza inafikia sehemu wafanyakazi wa ndani, wanashindwa kuwaeleza waajiri wao kwamba wamepata mchumba kwa kuwa wakisema wanaogopa watafukuzwa kazi.
Amesema muswada huo ukipitishwa utawapa hadhi wafanyakazi wa ndani kwani watafanya kazi na kuishi kama wafanyakazi wa makundi mengine nchini.

You Might Also Like

Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima

Watanzania Tuendelee Kudumisha Amani-Dk Biteko

Madaktari Bingwa, Wauguzi Wabobevu Wa Mama Samia Watoa Mafunzo Ya Huduma Kwa Mama Na Mtoto, Hospitali Ya Wilaya Ya Singida

GIZ, IUCEA waratibu uchambuzi wa data kidijitali kwa wahitimu

Kesi 100 Za Wananchi Zasikilizwa Na Kupatiwa Suluhu Katiba Na Sheria

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Muswada kuja wa Watumishi Wanaofanya Kazi Eneo Zaidi ya Moja Kuanza kuchangiwa na Waajiri Wote
Next Article Mfanyakazi Ana Wajibu Kupeleka Taarifa za Madai
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tume Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi Yatoa Siku Saba Kwa Taasisi Kujisajili
Habari June 12, 2026
Teknolojia Ya Juisi YA Ndizi Kali Yafungua Fursa Mpya Za Viwanda, Ajira
Makala Uncategorized June 12, 2026
Serikali Yaingia Makubaliano Ya Ushirikiano Na DIT Kuimarisha Usimamizi Wa Mataifa
Habari June 8, 2026
Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika
Habari June 7, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?