MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Muswada kuja wa Watumishi Wanaofanya Kazi Eneo Zaidi ya Moja Kuanza kuchangiwa na Waajiri Wote
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Muswada kuja wa Watumishi Wanaofanya Kazi Eneo Zaidi ya Moja Kuanza kuchangiwa na Waajiri Wote
Habari

Muswada kuja wa Watumishi Wanaofanya Kazi Eneo Zaidi ya Moja Kuanza kuchangiwa na Waajiri Wote

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete, amesema hivi sasa wafanyakazi wanaofanya kazi  katika maeneo mawili tofauti wanaangaliwa ili waweze kuchangiwa kwenye pensheni katika maeneo yote.
Ridhiwan amesema hayo  jijini Dodoma alipotembelewa na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania  (TUCTA),Tumaini Nyamhokya aliyefika kutambulisha gazeti la MFANYAKAZI, akiongozana na Mhariri Mkuu Shani Kibwasali pamoja na waandishi wa gazeti hilo.
“Sasa hivi kwenye pensheni wale wanaofanya kazi  maeneo mawili tofauti nao pia wameangaliwa katika Muswada wa Sheria Unaokuja.
“Kwa mfano madaktari unakuta anafanya kazi mbili yaani Yuko Muhimbili na  akitoka anaingia Aghakan  Sasa hivi kwenye skimu yetu ya pensheni kwa kuchangia ni uamuzi wako mwenyewe ukiamua wote wawili wakuchangie ni wewe, ukiamua akuchangie mmoja ni wewe,” amesema.
Amesema, ” Lakini uzuri wake upo hivi wakikuchangia waajiri wote wawili wakikuchangia ile pensheni hesabu yake  inaangalia kwa ukubwa wa mchango kwa hiyo wewe ukisema usichangiwe unachangiwa na mmoja, maana yake mchango wako unakuwa mdogo. Haya ni mambo mazuri yanayofanywa na serikali.” amesema Ridhiwan Kikwete.

You Might Also Like

TARI Yaja Na Jawabu 88 Juu Ya Tindikali, Chumvi Kwenye Udongo

Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Atoa Rai Kuhusu Afya ya Akili kwa Vijana

MAIPAC Yasisitiza Maadili Na Usalama Kwa Waandishi Wa Habari

TPHPA yaonyesha ufanisi mkubwa udhibiti wa panya, kwelea kwelea

Dar Yaidhinishiwa Bil. 68 Ukarabati, Matengenezo Ya Barabara

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Yaja Na Kanuni Mpya Ya Sheria Ya Fidia   Kuboresha Mazingira Ya Mfanyakazi 
Next Article Muswada wa Kuwalinda Wafanyakazi wa Ndani Waja
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Watendaji Wakuu Waagizwa Kuifanya Dira 2050 Kuwa Mwongozo Wa Maamuzi Yao
Habari July 24, 2026
Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?