MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tume ya umwagiliaji yapambana kuinua kilimo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tume ya umwagiliaji yapambana kuinua kilimo
Habari

Tume ya umwagiliaji yapambana kuinua kilimo

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi

DODOMA: MWAMKO wa ulipaji tozo kwa wakulima wanaotumia skimu za umwagiliaji katika maeneo tofauti nchini, umewezesha Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kupata sh bilioni mbili kwa mwaka 2024, ambazo zinaendeleza ujenzi mwingine.
Ofisa Kilimo Mwandamizi kutoka Tume ya Umwagiliaji, Lukombeso  Udumbe ameeleza hayo katika maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi yanayoendelea jijini Dodoma.
Amesema Sheria ya Tume ya Mwaka 2013, namba nne, imeipa tume jukumu la kuhakikisha wakulima wakianza kuzalisha wanatoa tozo katika skimu ambazo uwekezaji umefanywa.
Amesema eneo hilo wamefanikiwa kulisimamia na kuwawezesha kupata kiasi hicho cha sh bilioni mbili kutoka sh milioni 150 kwa mwaka 2021/ 2023.
Amesema mbali na tozo hiyo, nusu ya bajeti ya Wizara ya Kilimo kuanzia mwaka 2022/2023 na 2023/24  ilikwenda kwenye tume hiyo kwa ajili ya skimu za umwagiliaji.
 Akizungumzia tozo hiyo ya wakulima, anaeleza kuwa kiasi kinachokusanywa kinaendeleza ujenzi wa miradi mingine  ili sekta ya umwagiliaji iwe endelevu.
“Na hadi sasa tumeweza kuongeza eneo kubwa la umwagiliaji ukilinganisha na miaka ya nyuma. Kazi kubwa imefanyika ikiwa ni pamoja na kujenga mabwawa makubwa, lengo likiwa ni kuvuna maji ambayo yalikuwa yanapotea kwa kiasi kikubwa sana,” amesema.
Amesema kazi ya tume hiyo ni kuendeleza kilimo cha umwagiliaji kwa kuangalia maeneo ya wakulima na kuyafanyia tathmini kuangalia eneo husika kama linafaa.

You Might Also Like

Tigo yawafikia wakulima, wafugaji. Wavuvi nanenane Dodoma

Maliasili Yapongezwa Kwa Kutekeleza Maono Ya Rais Samia  

Chinyeli Aahidi Chakula Bure kwa Wazee, Mwanyemba Kupambana Kutafuta Maendeleo

Tanzania yajipanga kutumia nishati ya nyuklia kuzalisha umeme

Wanafunzi UDOM Wavumbua Mafuta ya Asili Kutoka Mabaki ya Zabibu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Someeni fani zisizo maarufu – mwalimu
Next Article TASAC yajipanga kuhudumia wafanyabiashara
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?