MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: UTT AMIS Yazindua kampeni ya ‘Kijiwe Mchongo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > UTT AMIS Yazindua kampeni ya ‘Kijiwe Mchongo
Habari

UTT AMIS Yazindua kampeni ya ‘Kijiwe Mchongo

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
 DAR ES SALAAM: TAASISI  ya uwekezaji nchini  UTT AMIS imezindua kampeni ya elimu kwa umma ijilikanayo kama  ‘Kijiwe Mchongo’  ikilenga  kuelimisha masuala ya uwekezaji kwa jamii na rika zote namna ambavyo masoko ya fedha na mitaji yanavyoweza kuwanufaisha kupitia mifuko ya uwekezaji wa pamoja.
Mkurugenzi wa Masoko  na Mawasiliano wa taasisi hiyo  Daud Mbaga, amesema hayo leo  Dar es Salaam  na kuongeza kuwa elimu hiyo itatolewa sehemu mbalimbali nchini na kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ya taasisi hiyo.
“Uzinduzi wa kampeni hii inalenga  kuhamasisha wananchi kuwekeza kupitia  taasisi hiyo kwamba tuwafikie wananchi  popote walipo kupitia majukwaa tofauti kama Youtube, instagram, facebook nahata  redio,” amesema.
Amesema kampeni itasaidia   wenye vipato vya chini, kati na juu wakutane sehemu moja kupitia UTT AMIS  na waweze kuwekeza kwenye masoko ya fedha ambayo ni ya mitaji na fedha.
Amesema  kijiwe mchongo  ni kampeni ambayo watakwenda mtaa kwa mtaa, wakiongea na watu tofauti kujua ufahamu wao na kuwavuta kuingia kwenye mfiko  na kama wapo waongeze uwekezaji.
Aidha amesema hadi sasa taasisi hiyo  inasimamia fedha za watanzania zaidi ya Trilioni 2.2  na wawekezaji wapatao 340,000 na  kwa miaka zaidi ya 20 imekuwa  moja ya mifuko inayolipa gawio na faida kwa wawekezaji kila mwaka.
 “Hivi sasa tuna mifuko sita ambayo ni umoja, wekeza maisha, watoto, kujikimu, ukwasi na hatifungani ambayo  kwa pamoja mifuko hiyo imekidhi vigenzo vya ufanisi ambavyo ni usalama, faida, shindani na ukwasi,” amesema.
Ameongeza kuwa wastani wa faida katika mifuko kwa mwaka imekuwa  kati ya asilimia 12 hadi 15 kulingana na hali ya soko.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Tasisi hiyo, Issa Waichinenda amesema katika  kampeni inahamasisha wananchi kuchangamkia  fursa hiyo  kwani ukiwekeza huko ni sehemu salama na kuna faida nzuri .
Amesema kiwango cha chini cha uwekezaji  ni kuanzia sh  10,000 na uwekezaji naweza kuendelea kuweka kiwango chochote.

You Might Also Like

Serikali Sekta Binafsi Kuimarisha Huduma Za Fedha Nchini

Swahili International Tourism Expo Kufanyika Oktoba 11 hadi 13

Wizara ya Maji: Uhifadhi Ziwa Victoria Unahitaji Ushirikiano, Uwekezaji Endelevu

TEA Kukarabati Jengo La Bodi Ya Maktaba Kwa Milioni 300

Mitambo 10 Ya Uchimbaji Madini Yenye Thamani Ya Bilioni 10 Yazinduliwa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Bodi ya mkonge kutoa ajira kwa watu 10,000 ifukapo 2030
Next Article Miradi ya maedeleo na Huduma za afya isimamiwe kwa ukaribu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Sheria Ya  Kuzuia Shisha Kutungwa, Yabainika Kuwekwa Dawa Za Kulevya
Habari May 29, 2026
Waraibu Wa Dawa Za Kulevya 85,425  Wapatiwa Huduma Ya Tiba Nchini Kwa Mwaka 2025
Habari May 29, 2026
NHC Kuendelea Kutekeleza Miradi Mikubwa Ya Kimkakati Ya Ujenzi Wa Nyumba
Habari May 28, 2026
Kutokulipa Kodi Ya Pango La Ardhi Unakosa Sifa Za Kugombea Nafasi Za Uongozi
Habari May 28, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?