MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TRAWU yapigania mkataba hali bora za kazi miaka 11 sasa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TRAWU yapigania mkataba hali bora za kazi miaka 11 sasa
Habari

TRAWU yapigania mkataba hali bora za kazi miaka 11 sasa

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

CHAMA cha Wafanyakazi wa Reli Tanzania (TRAWU), kinapigania Mkataba wa Hali Bora za Kazi kwa Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), kwa miaka 11 sasa.

Naibu Katibu Mkuu wa TRAWU, Edo Makata amesema hayo alipozungumza na Gazeti la Mfanyakazi.

Malola amesema tokea 2013 TRC ilipovunja mkataba na wafanyakazi wake  kutokana na sababu za kisheria, kesi iliendeshwa mahakamani mpaka 2020 ambapo mwajiri alitakiwa kukaa nao ili kutengeneza mkataba.

“Tumeanza mazungumzo na tayari tunayo nakala ya kuanzia mahali ambapo tunaweza tukaingia mkataba, na tayari tupo kwenye hatua fulani upande wa serikali na mazungumzo yanaendelea.
“Tunaamini kwamba mkataba wa hali bora unaweza kufikiwa kwa wafanyakazi wa TRC lakini imekuwa ni changamoto kubwa,” amesema.
Amesema upande wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), suala la mkataba na hali bora limekuwa likizingatiwa kwa wakati.

You Might Also Like

Wanawake Tumieni Fursa Zilizopo Kufanya Biashara

Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija

Watumishi wa Umma wafahamu haki ya rufaa Kwa mujibu wa sheria

Chinyeli Aahidi Chakula Bure kwa Wazee, Mwanyemba Kupambana Kutafuta Maendeleo

Watumishi wa Umma Watakiwa Kuwa na Nidhamu, Ubunifu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Uwepo mwongozo kupima wagonjwa zaidi
Next Article Sheria ya ajira, mahusiano kazini ipitiwe upya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?