WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Zanzui na wadau mbalimbali wamepata fursa ya kutembelea banda la Bodi ya Bima ya Amana (DIB) katika Maonesho ya 9 ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Geita, na kupata elimu kuhusu usalama wa amana, ulinzi wa fedha zinazohifadhiwa katika taasisi rasmi za fedha pamoja na taratibu za kupata fedha za mteja aliyefariki kupitia warithi halali.
Je, habari hii ilikusaidia?
Maoni 0
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!