MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Sera Ya Ardhi Inatoa Fursa Kwa  Wanawake Kumiliki Ardhi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Sera Ya Ardhi Inatoa Fursa Kwa  Wanawake Kumiliki Ardhi
Habari

Sera Ya Ardhi Inatoa Fursa Kwa  Wanawake Kumiliki Ardhi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu,Morogoro
NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kaspar  Mmuuya, amesema Serikali imeendelea
 kurekebisha mila na desturi zinazoweza kuwa kikwazo kwa wanawake kumiliki ardhi,na kusisitiza umuhimu wa jamii kutambua kuwa ardhi ni rasilimali inayopaswa kutumiwa kwa misingi ya haki na usawa.
Mmuuya ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi katika Tamasha la Nne la Kitaifa la Utamaduni, linalomalizika mkoani Morogoro, akieleza kuwa maboresho katika sera hiyo yanalenga kuimarisha usawa na haki kwa makundi yote katika upatikanaji na umiliki wa ardhi.
Habari Picha 13537
Habari Picha 13538
Amesema serikali inachukua hatua  kuhakikisha utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 2023 unaondoa ubaguzi wa kijinsia na kutoa fursa sawa kwa wanawake na wanaume katika umiliki na matumizi ya ardhi.
Amewataka wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kulinda na kutumia ardhi kwa tija, huku akisisitiza kuwa mabadiliko ya sera na mifumo ya utoaji huduma yanalenga kurahisisha upatikanaji wa haki za ardhi kwa wananchi bila kujali jinsia.
Naibu Waziri huyo amewataka watumishi wa Wizara ya Ardhi kuendelea kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi, akisisitiza kuwa hakuna rushwa wala visingizio katika utekelezaji wa majukumu yao.
“Mnapata huduma kwa wakati. Nendeni ofisini, si kwa madalali,” amesema Mmuuya, akiwataka wananchi kutumia njia rasmi za kupata huduma za ardhi na kutoa taarifa pale wanapokumbana na vitendo vinavyokiuka taratibu.
Habari Picha 13539
Habari Picha 13540
Kwa upande  wake Kamisha Msaidizi wa Ardhi mkoani Morogoro Idrissa Kayera amesema katika muda siku tano mkoani hapo amesaini na kutoa hati 829 na kati ya hizo hati 278 ninza wanawake.
Amesema mchakato wa utoaji hati unaweza kukamilika ndani ya siku moja iwapo vielelezo vyote viko sawa na kuhamasisha wananchi kuona umuhimu wa kuwa na miliki salama na kwamba kila kipande cha ardhi kiwe na hati.
Habari Picha 13541
Habari Picha 13542
Aidha amehamasisha pia umiliiki wa  pamoja kuepusha changamoto kwenye mirathi katika jamii.

You Might Also Like

Takribani watu 200 Wamepata Ushauri Wa Kibingwa Wa Ubongo, Mifupa 

Silaa: Akili Mnemba, Roboti kuongeza ufanisi,ubunifu 

Amani, Maendeleo Haviwezi Kutenganishwa — Dkt. Nchimbi

Bil 67 Zatumika Kujenga Barabara, Masoko  Mwanza-Profesa Shemdoe

Rais Mwinyi Azindua Ripoti ya Jiolojia, Utafiti Madini zanzibar

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Walimu 600 Washindanishwa Kutumia AI Darasani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Walimu 600 Washindanishwa Kutumia AI Darasani
Habari August 30, 2026
Ubunifu Wa Mavazi Kutoka  VETA Umekuwa na Mafanikio Kwenye Tamasha La Utamaduni 
Habari August 30, 2026
TRAB Yaelimisha  Wananchi Hatua Wanazoweza Kuchukua Wasiporidhishwa Na Masuala Ya Kodi
Uncategorized August 29, 2026
VETA -Dakawa Kufundisha Namna Ya Kutunza  Mifugo Kupandisha Thamani Ya Ngozi
Habari August 28, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?