MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA Yaonesha  Mavazi, Bidhaa Za  Utamaduni Kwa Umahiri Katika Tamasha La Utamaduni
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA Yaonesha  Mavazi, Bidhaa Za  Utamaduni Kwa Umahiri Katika Tamasha La Utamaduni
Habari

VETA Yaonesha  Mavazi, Bidhaa Za  Utamaduni Kwa Umahiri Katika Tamasha La Utamaduni

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Morogoro

MAMLAKA Ya Elimu Na  Ufundi Stad Nchini (VETA) imesema inashiriki katika  tamasha la nne la kitaifa la utamaduni ili kuonesha mavazi ya utamaduni,bidhaa za utamaduni pamoja na ngoma zinazofundishwa katika vyuo hivyo.

Ofisa Mkuza Mitaala Kutoka VETA, Atanasia Kisieri amesema hayo wakati akizungumza katika banda la VETA lililopo katika Tamasha hilo linaloendelea katika mkoa wa Morogoro.
Habari Picha 13490
Amesema katika tamasha hilo kanda moja  imeshiriki ikionesha maeneo makuu manne ambayo ni pamona na eneo la mavazi ya utamaduni,mavazi ya asili ya mswahili ambayo wametumia kwa  kujifunga kanga kuashiria utamaduni wa watanzania.
“Utamaduni huo ni wa kufunga kanga wakati wa kuoga, wakati wa ujauzito,kumfunika mtoto na hata kutengeneza kata ya kubebea mtungi wa maji na kujifunga kiunoni wakati mabinti wakicheza,”amesema.
Ameongeza kuwa kupitia vyuo vya VETA vya Dakawa,Kihonda,Mikumi na Pwani aameweza kutumia tamasha hilo kuonesha mavazi yanayoakisi utamaduni wa Watanzania ambapo walishona mavazi ya kanga yakichanganywa na kaniki.
Habari Picha 13491
Amesema katika  vyuo vyote vinne vya VETA vimetumia tamasha hilo kuonesha umahiri mkubwa wa mavazi waliyotengeneza kwa mitindo ya kawaida ikiwemo magauni na kofia pamona na kanga zenye jumbe mbalimbali walizojifunga katika usiku wa Mtanzania katika tamasha hilo.
Kisieri amesema kwa kutumia  tamasha hilo wameendelea kudumisha utamaduni wa watanzania ambao ndio urithi ambapo wamesherehesha tamasha lakini pia kutoa mafunzo ya kutengeneza mavazi au bidhaa zinazoendana na utamaduni wa kitanzania.
Habari Picha 13492
Amesema VETA imejipanga kurudi kwenye utamaduni kupitia mavazi na kuahidi kutoa mafunzo yenye ubora kwa sekta zote 13 ili kila mmoja kuweza kunufaika na kukuza ujuzi.

You Might Also Like

BRELA kuanza kuwasajili wakulima

Usajili Kwa Njia Ya Mtandao, Umeharakisha Ufunguaji Mashauri

Maofisa Habari Watoe Taarifa Sahihi Ziwafikie Wananchi

CCM Yasitisha Ratiba ya Uchaguzi wa Maoni

Tafiti Katika Afya Nyenzo Muhimu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TPHPA yawataka wakulima, wafanyabiashara kulinda ubora wa mazao, yafungua soko la viazi Zambia
Next Article “Tumejiandaa Vyema Kuzifikia Fursa Za Afcon Kupitia Utalii”-VETA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

“Tumejiandaa Vyema Kuzifikia Fursa Za Afcon Kupitia Utalii”-VETA
Habari August 28, 2026
TPHPA yawataka wakulima, wafanyabiashara kulinda ubora wa mazao, yafungua soko la viazi Zambia
Habari August 27, 2026
PBPA Yashiriki Tamasha La Nne La Kitaifa La Utamaduni
Habari August 27, 2026
TFNC Yahimiza Wanaotoa Ushauri Wa Lishe Mitandaoni Kushirikiana Na Taasisi Zenye Mamlaka
Habari August 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?