MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: NGARUMA VTC  Kutoa Mafunzo Katika Fani Mbalimbali Za Ufundi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > NGARUMA VTC  Kutoa Mafunzo Katika Fani Mbalimbali Za Ufundi
Habari

NGARUMA VTC  Kutoa Mafunzo Katika Fani Mbalimbali Za Ufundi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
CHUO  cha Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi NGARUMA VTC, kilichopo Marangu, Moshi  Kilimanjaro ambacho  kinasimamiwa na Kanisa la Kiinjili La Kilutheri Tanzania ( KKKT,) kimeeleza kutoa mafunzo katika fani mbalimbali  zenye kutoa mwanga na ujuzi kwa mwanafunzi.
Fani zinazotolewa chuoni hapo nimpamoja na  Ushonaji, Useremala, Ujenzi, Umeme, TEHAMA (ICT) na Ufundi wa Magari (Mechanics), yakitolewa na walimu wenye utaalamu na uzoefu katika fani hizo.
Habari Picha 13411
Habari Picha 13412
Habari Picha 13413
Mkuu wa Chuo hicho Beneth  Mugyabuso, ametoa wito kwa vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini wenye nia ya kujifunza na kujenga maisha kupitia ujuzi wa ufundi kuchangamkia fursa hiyo na kujiunga na NGARUMA VTC
Amesema Chuo pia  kimetangaza nafasi za mafunzo ya ufundi kwa wahitimu wa shule za msingi, sekondari na vyuo na zaidi kinatoa huduma kwa watoto wenye mahitaji.
Amesema  NGARUMA VTC inatoa kozi za muda mfupi kwa ada nafuu, huku ikiwa imesajiliwa na NACTVET na kuwa na huduma za malazi kwa wanafunzi wa kike na wa kiume.
Habari Picha 13414
Habari Picha 13415
Habari Picha 13416
Amesema Kwa kuzingatia vijana kutoka mazingira yenye changamoto, chuo pia kina utaratibu wa kuwasaidia baadhi ya vijana kutoka familia zenye uhitaji na waliotelekezwa na wazazi kupata fursa ya ufadhili wa mafunzo ya ufundi, ili kuwawezesha kujenga ujuzi na maisha bora ya baadaye.

You Might Also Like

Watafiti, Wabunifu Waendelezwe Wasivunjwe Moyo- Biteko

Jeshi la polisi kumhoji anayesambaza taarifa za uongo

Mgahawa unaotembea fursa kwa vijana, kutoa huduma ya unywaji wa kahawa

Wananchi Watakiwa Kufahamu Sheria Na Miongozo

TAFIRI Wakabiliana Na Mabadiliko Ya Tabianchi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Next Article OUT: Elimu Sasa Kiganjani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

OUT: Elimu Sasa Kiganjani
Habari Uncategorized August 24, 2026
VETA kumpa nafasi Igobeko kuongeza ujuzi na kuwawezesha wengine
Habari August 23, 2026
Airtel Yajenga Darasa La Fursa Katika Shule Ya Sekondari Magaoni,Tanga
Habari August 23, 2026
Bunifu ya dawa ya mayai yapunguza hasara kwa wafugaji wa kuku
Makala August 22, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?