MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Jeshi la polisi kumhoji anayesambaza taarifa za uongo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Jeshi la polisi kumhoji anayesambaza taarifa za uongo
Habari

Jeshi la polisi kumhoji anayesambaza taarifa za uongo

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Lyatuu

DAR ES SALAAM: JESHI la Polisi limemkamata na kumhoji kwa kina Amos Lutakulemberwa Lwiza (54) mkazi wa Tegeta Wazo Kinondoni kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu binti aliyefanyiwa vitendo vya udhalilishaji.

Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi, Muliro Jumanne amesema hay oleo Dar es Salaam na kuongeza kuwa taarifa hizo ni kuwa binti anayedaiwa kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji kwa kubakwa na kulawitiwa amekutwa amefariki suala ambalo sio kweli.

Amesema taarifa za binti huyo kufanyiwa vitendo hivyo zilitolewa mitandaoni hivi karibuni Agost 2024.

Kamanda Muliro amesema Jeshi hilo linatoa wito watu kujiepusha na kutoa au kuchapisha taarifa za uongo zenye malengo ya kuzusha taharuki katika jamii kwani kufanya hivyo ni makosa.

Amesema pia Jeshi hilo litaendelea kuzingatia maoni ya watu ambayo hayakinzani na sheria za nchi.

You Might Also Like

Jackline Mzindakaya: Uteuzi wa Mwigulu Ni Chaguo Sahihi kwa Taifa

NCCR-MAGEUZI Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 

Dkt. Mashimba Achukua Fomu Ya Kuwania Nafasi Ya Ubunge

Watuhumiwa 25 Wa Makosa Ya Mtandao Wakamatwa Na Polisi

Kassim Majaliwa Mgeni Rasmi Miaka 30 VETA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mkuu wa Mkoa akabidhi matrekta kwa wakulima kutoka Pass Leasing
Next Article Jeshi la polisi kuchukua tahadhari mechi ya Simba, Yanga leo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

‘Upungufu wa Wakunga Afrika Watishia Maisha ya Mama na Mtoto ‘TAMA
Habari April 21, 2026
Serikali Yatoa Mwelekeo Maandalizi AFCON 2027, Yaimarisha Miundombinu Nchini
Habari April 17, 2026
Makampuni 100 kushiriki maonesho ya OSHA Njombe
Habari April 17, 2026
Ufaulu  Wa   Somo La Hisabati  Shida Ya Taifa- Wanu
Habari April 16, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?