MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: DC Kondoa  Aipongeza TFS Kwa Teknolojia Ya Uhifadhi Wa Misitu Na Utali
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > DC Kondoa  Aipongeza TFS Kwa Teknolojia Ya Uhifadhi Wa Misitu Na Utali
Habari

DC Kondoa  Aipongeza TFS Kwa Teknolojia Ya Uhifadhi Wa Misitu Na Utali

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
MKUU wa Wilaya ya Kondoa, Fatma Almas Nyangasa, ameipongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa matumizi ya teknolojia za kisasa katika usimamizi wa misitu na uendelezaji wa utalii, akisema hatua hiyo inaongeza ufanisi wa uhifadhi na kuvutia watalii kutembelea vivutio vya Tanzania.
Nyangasa ametoa pongezi hizo  alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea Viwanja vya Nzuguni, Dodoma, ambapo alipata maelezo kuhusu shughuli na huduma zinazotolewa na TFS kwa mujibu wa majukumu yake ya kisheria.
Habari Picha 13165
Akiwa katika banda la TFS, amejionea matumizi ya ndege zisizo na rubani (drones) katika usimamizi wa misitu pamoja na teknolojia ya Virtual Reality inayowawezesha wananchi na wageni kutembelea vivutio vya utalii kwa njia ya mtandao kabla ya kufika maeneo husika.
Amesema matumizi ya teknolojia hizo ni hatua muhimu ya kuimarisha uhifadhi wa rasilimali za misitu na kuongeza hamasa ya watalii kutembelea maeneo yenye vivutio mbalimbali, ikiwemo Eneo la Urithi wa Dunia la Michoro ya Miambani ya Kondoa.
Ameongeza kuwa, ubunifu unaoendelea kufanywa na TFS unapaswa kuendelezwa kwa kuwa unarahisisha utoaji wa elimu kwa wananchi na kuitangaza Tanzania kama kitovu cha utalii wa asili na urithi wa kiutamaduni.
Habari Picha 13166

You Might Also Like

Mamlaka Ya Elimu Tanzania Yaimarisha Ushirikiano Na Wadau Wa Maendeleo Ya Elimu

NSSF Yajivunia Kasi Ya Ufanisi Na Mafanikio Miaka Minne Ya Rais Samia

Serikali Yaanza Mchakato wa Kujenga Uwanja wa Ndege Kyabajwa

Mkurugenzi Mkuu Wa NSSF Aongoza Utoaji Wa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii Soko La Tegeta Nyuki

TAKUKURU kuelimisha madhara ya rushwa wakati wa uchaguzi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waziri Nanauka Aipongeza   TARURA Kwa Mpango Wa  CBRM ‎
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Nanauka Aipongeza   TARURA Kwa Mpango Wa  CBRM ‎
Habari August 8, 2026
PURA Yawataka Watanzania Kujenga Uwezo Kunufaika Na Sekta Ya Mafuta Na Gesi
Habari August 8, 2026
COSTECH Yapambania Haki Za Wabunifu, Yalenga Kupeleka Bunifu Sokoni
Habari August 8, 2026
Miaka 40 ya Costech: Ruzuku ya Ubunifu Imegeuza Wazo Kuwa Kiwanda Cha Kimataifa
Makala August 7, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?