MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Yaanza Mchakato wa Kujenga Uwanja wa Ndege Kyabajwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Yaanza Mchakato wa Kujenga Uwanja wa Ndege Kyabajwa
Habari

Serikali Yaanza Mchakato wa Kujenga Uwanja wa Ndege Kyabajwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
Mbunge wa Misenyi, Florent Kyombo, ameuliza katika kipindi cha maswali na majibu bungeni mjini Dodoma, “Je, lini Uwanja wa Ndege wa Kyabajwa utaanza kujengwa?”
Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa Uchukuzi,David Kihenzile amesema kuwa Serikali imekwishaanza utekelezaji wa mradi wa kiwanja kipya cha ndege katika Mkoa wa Kagera kwa kuingia mkataba na Mtaalamu Elekezi.
Mtaalamu huyo atafanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa kiwanja hicho kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la Kyabajwa.
Naibu Waziri alifafanua zaidi kuwa Mtaalamu Elekezi anatarajiwa kukabidhiwa eneo la kazi na kuanza kazi ndani ya robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2025/2026.
Aidha, kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina imepangwa kukamilika mwishoni mwa mwaka 2026, na baada ya hapo hatua za utekelezaji wa mradi huo zitaanza rasmi.

You Might Also Like

Baraza La Mawaziri La SADC Lahitimisha Kikao Chake Jijini Antananarivo

TUCTA Yaitaka Jamii Kuwapa Nafasi Vijana Wenye Changamoto za Kimwili

Matwebe Aipongeza Serikali Kushirikisha JUMIKITA  Kwenye Shughuli Za Kitaifa

Mgombea Udiwani Manyoni Adhalilishwa, Rushwa Yadaiwa Kuvuruga Kura Za Maoni

Mpango wa Shule Salama Unaongeza ulinzi Kwa Watoto

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Katoro Yapata Gari Jipya la Zimamoto, Kuwasili Februari 9
Next Article Wananchi wa Bukoba Wapewa Vizimba vya Samaki Kuongeza Mapato
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Uwekezaji wa Vijana Watajwa Chachu ya Ukuaji wa Uchumi
Habari June 29, 2026
Tanzania Yaendelea Kuimarisha Usalama Na Ulinzi Wa Taarifa Binafsi
Habari June 29, 2026
WCF Yapigia Debe Ushirikiano na Teknolojia Kuimarisha Hifadhi ya Jamii
Habari June 28, 2026
Sabasaba 2026 Kuingiza Teknolojia Mpya na Fursa za Uwekezaji
Habari June 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?