MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TAKUKURU kuelimisha madhara ya rushwa wakati wa uchaguzi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TAKUKURU kuelimisha madhara ya rushwa wakati wa uchaguzi
Habari

TAKUKURU kuelimisha madhara ya rushwa wakati wa uchaguzi

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
DAR ES SALAAM: KUELEKEA uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imejipanga kuelimisha wananchi kujua madhara ya rushwa na kuhamasiaha kushirikiana na taasisi hiyo kutokomeza vitendo hivyo.
Naibu Mkuu wa TAKUKURU, wilaya ya Kinondoni, Elizabeth Mokiwa  amesema hayo leo Dar es Salaam na kuongeza kuwa Taasisi hiyo itaendelea kupokea malalamiko yote yanayohusu rushwa na kuyafanyia kazi kwa uharaka ili kuweza kudhibiti vitendo hivyo wakati wote.
Amesema rushwa katika uchaguzi husababisha kuchaguliwa kwa viongozi wasio waadilifu watakaotumia muda wao mwingi wa uongozi kurejesha fedha zao na siyo kuleta maendeleo kwa wananchi.
Aidha ametoa wito kwa wananchi  kuendelea kutoa ushirikiano kwa Taasisi hiyo na kuwasihi wenye taarifa zozote za rushwa kuwasiliana nao bure kwa kupiga au kutuma ujumbe mfupi kwa namba ya dharura 113 nakufuata maelekezo.
Kuhusu mikakati ya mwaka 2024 hadi 2025, TAKUKURU inatekeleza program ya Takukuru Rafiki kwa kufikia wananchi kwenye kata 20 na kupokea kero 61 na kuzitatua kero hizo kwa uharaka ili zisiwaathiri wananchi.
Amesema mirdi ya maendeleo 26 yenye thamani y ash bilioni 80.2 imefuatiliwa utekelezaji wake na kubainika kuwa na mapungufu machache ambayo wahusika wameshauriwa kuyarekebisha ili  miradi ikaimilike kwa wakati na kwa thamani halisi.

You Might Also Like

Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya SGR

TPDC na PURA Hakikisheni Watanzania Wananufaika na Rasilimali za Mafuta na Gesi- Salome

TUGHE, DMF wateta na Ridhiwan Kikwete

Umwagiliaji kumwezesha mkulima kulima mara mbili mpaka tatu kwa mwaka

TEITI Yashiriki Maonesho ya Nane ya Uwekezaji Sekta ya Madini Geita

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia akisikiliza jambo
Next Article Maeneo ya hifadhi yalindwe na kutunzwa – Rais Samia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali Yaingia Makubaliano Ya Ushirikiano Na DIT Kuimarisha Usimamizi Wa Mataifa
Habari June 8, 2026
Wananchi Waelimishwa Masharti ya Kubadilisha Noti Zilizochakaa, Kuungua na Kuchanika
Habari June 7, 2026
DMI Yawaalika Vijana Kujiunga Na Masomo Ya Ubaharia
Habari June 6, 2026
Taifa Gas Yaendelea Kuongoza Kampeni ya Nishati Safi kwa Taasisi na Sekta ya Utalii Tanzania
Habari June 6, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?