MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wadau Wa Kilimo Iondoeni Nchi Kwenye Uchuuzi Wa Mafuta Ya Kula-Chongolo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wadau Wa Kilimo Iondoeni Nchi Kwenye Uchuuzi Wa Mafuta Ya Kula-Chongolo
Habari

Wadau Wa Kilimo Iondoeni Nchi Kwenye Uchuuzi Wa Mafuta Ya Kula-Chongolo

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na Lucy Lyatuu,Dodoma

WAZIRI wa Kilimo, Daniel Chongolo amewataka wadau wa kilimo nchini kubadilika kwa kuiondoa nchi katika uchuuzi na kuwa ya uzalishaji  haswa wa mafuta  ya kula na kuondokana  na kuagiza kutoka nje ya nchi.
Amesema nchi zinazozalisha mafuta hayo hakuna ilichokizidi Tanzania na kwamba kinachotakiwa ni kuwa na utashi wa kutosha kufikia malengo.
Chongolo amesema hayo katika Jukwaa la Uwekezaji la tasnia ya mafuta ya kula lililoandaliwa  kwa pamoja na   Mamlaka Ya Udhibiti Wa Nafaka Na Mazao Mchanganyiko (Copra), Benki ya  Maendeleo Ya Kilimo Tanzania (TADB) na Benki ya Dunia(WB) lililofanyika jijini Dodoma.
Habari Picha 12934
Amesema  msimamo wa serikali ndani ya miaka miwili au mwaka mmoja na nusu kuanzia sasa ili uweze kuagiza mafuta ya kula kutoka nje  ya nchi lazima kuonesha ulipolima mazao ya alzeti na chikichi ambayo yanazalisha  mafuta ya kula.
“Wanaofikiri kuagiza mafuta ya kula kutoka nje ya  nchi ndio biashara sasa waanze kuwekeza nchini,” alisema Chongolo na kuongeza kuwa katika miaka miwili ijayo uagizaji wa mafuta ya kula nje ya nchinutakwenda kwa yule aliyewekeza kwenye kilimo kwanza.
Amesema serikali inatoa fedha nyingi kila mwaka kwa ajili ya kuagiza mafuta hayo kutoka nje ya nchi kwa gharama ya dola 200,000 na kuwataka wadau hao kuweka mfumo mkubwa wa kuzalisha mafuta nchini ili kuiitosheleza na kuondoa uhaba uliopo.
Habari Picha 12935
Amesema kwa sasa Tanzanianinanuwezo wa kuzalisha tani 300,000 huku mahitaji yakiwa ni tani 700,000 hivyo kuna nakisinya tani 400,000.
Amezitaka taasisi za fedha,wadau wa maendeleo kushirikiana na serikali kaa kutoa mikopo na kuwa na mashamba makubwa ya kulima alzeti na chikichi,mikopo ya kununua vifaa,kupunguza masharti ya dhamana na mikopo yenye riba nafuu kwa wakulima.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mwendeshaji wa TABD Frank  Nyabundege amesisitiza uwekezaji wa kina katika zao la chikichi na alzeti na kwamba imetoa mikopo kwa benki ili wadau waweze kutumia fursa hiyo kuzalisha mazao hayo na kuwezesha nchi kujitosheleza.
Habari Picha 12936
“Nchi inaagiza mafuta licha ya kuwa na ardhi kubwa na yenye rutuba…taasisi za fedha zitoe mikopo ya fedha tunazowapa ili kuwe na uzalishaji mkubwa wa mafuta ya kula unaofikia tani milioni 1.3 ifikapo mwaka 2030.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Profesa Peter Msofe akimwakilisha Katibu Mkuu Gerald Mweri amesema Wizara imeandaa mkakati wa kuzalisha mafuta na kwamba ifikapo 2035 nchi ijitosheleza.
Amesema mahitaji ya mafuta Tanzania yanaongezeka na serikali inachukua hatua mbalimbali ikiwemo kuongeza utafiti.

You Might Also Like

Hospitali ya Temeke kufanyiwa maboresho eneo la huduma Kwa wateja

Ridhiwani: WCF Umeboresha Mifumo Ya Ushughulikiaji Wa Fidia

Wambali: Vyama Vya Wafanyakazi Muhimili wa Uchumi, Ustawi Wa Jamii

Bunge Marathon kufanyika April 18,yakidhi viwango vya kimataifa

CCM yavunja rekodi – Makala

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wadau Wa Kilimo Iondoeni Nchi Kwenye Uchuuzi Wa Mafuta Ya Kula-Chongolo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wadau Wa Kilimo Iondoeni Nchi Kwenye Uchuuzi Wa Mafuta Ya Kula-Chongolo
Habari July 30, 2026
Mradi Wa Njia Ya Kusafirisha Umeme Wa Msongo Wa Kilovolti 400 Chalinze -Dodoma Mbioni Kukamilika
Habari July 29, 2026
Kutoka Wazo Rahisi Hadi Mapinduzi ya Kilimo: Safari ya Rafiki Planter Inayosimulia Miaka 40 ya COSTECH
Makala July 28, 2026
Ndejembi Ashuhudia Utiaji Saini Wa Mkataba Wa Sh Bilioni 204.7 Wa Mradi Wa Umeme Wa Jua Wa Megawati 100 Kishapu
Habari July 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?