MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA  Yapongezwa Kwa Kuibua Vipaji Kwa Vijana  
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA  Yapongezwa Kwa Kuibua Vipaji Kwa Vijana  
Habari

VETA  Yapongezwa Kwa Kuibua Vipaji Kwa Vijana  

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na  Lucy Lyatuu ,Dodoma
SERIKALI imeipongeza Mamlaka  ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa juhudi zake za kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana wenye ulemavu,  na kwamba hatua hiyo inaendelea kufungua fursa za ajira.
Imesema utaratibu huo unawezesha  vijana wengi kuchangia maendeleo ya taifa kupitia ujuzi wa kazi.
Akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya utumishi katika viwanja vya Chinangali Park Dodoma, Waziri Wa Nchi,Ofisi Ya Waziri Mkuu, Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa, (OWN-TAMISEMI)  Prof. Riziki Shemdoe, amesema mafanikio ya kijana  Joseph  ambaye ni mlemavu ni ushahidi wa kazi kubwa inayofanywa na VETA.
Habari Picha 12629

Profesa Shemdoe alimwakilisha  Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, ambapo alipata bahati ya kukutana na kijana Joseph katika banda la VETA na kubainisha kuwa

 Serikali imevutiwa na uwezo wa kijana mwenye ulemavu aitwaye Joseph aliyepata mafunzo kupitia VETA na kubobea katika usanifu wa majengo kwa kutumia mifumo ya kompyuta.
Habari Picha 12630
Amesema mafanikio ya Joseph ni ushahidi wa kazi kubwa inayofanywa na VETA katika kuwajengea vijana stadi za maisha na kuwaandaa kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali.
“Nimepata nafasi ya kuzungumza na kijana huyo wakati wa kutembelea mabanda mbalimbali ya maonesho na kujionea kiwango kikubwa cha ubunifu na utaalamu alionao katika kazi za usanifu wa majengo,” amesema na kuongeza.
“Nimezungumza naye kwa kina na nimejiridhisha kuwa ana uwezo mkubwa sana,huyu ni mfano wa vipaji vilivyopo nchini ambavyo vinahitaji kuibuliwa na kuendelezwa,naipongeza VETA kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwafikia vijana hawa na kuwapa stadi za maisha,”
Habari Picha 12631
Aidha  Profesa Shemdoe amemuelekeza Katibu Mkuu wa Utumishi kuhakikisha Joseph anatafutiwa ufadhili wa masomo ili aendelee kujiendeleza katika taaluma ya teknolojia na usanifu wa majengo.
Hata hivyo , amesema ameelezwa kuwa kijana huyo kwa sasa anafanya kazi kupitia VETA kwa mkataba hivyo akaagiza kuanza kwa mchakato wa kumpatia ajira ya kudumu serikalini kutokana na uwezo aliouonesha.

You Might Also Like

VETA Yatahadharisha Changamoto ya Kuzidisha Uchanganyaji wa Chakula Cha Mifugo

Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam

Serikali Yaitaka TBS Kuongeza Ubunifu, Usasa

Bahari  Ina Fursa Nyingi Zisizofahamika-Tasac

Changamoto uchakataji Mkonge kupatiwa ufumbuzi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kundi Kubwa La Wanafunzi Hukatisha Masomo Katika Ngazi Mbalimbali Ya Elimu -TEWW 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kundi Kubwa La Wanafunzi Hukatisha Masomo Katika Ngazi Mbalimbali Ya Elimu -TEWW 
Habari June 24, 2026
TEMESA  Yajadhimisha Miaka 20, Yajivunia  Mafanikio  Na Kuahidi  Kuimarisha  Huduma
Habari June 24, 2026
PURA Yasema Tanzania Inaendelea Kujivunia Uwepo Wa Gesi Asilia,Ni Nguzo Muhimu Katika Kuchochea Maendeleo
Habari June 24, 2026
TMA Yatoa Elimu ya Hali ya Hewa kwa Wananchi Dodoma
Habari June 23, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?