MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: PDPC  Yashauriwa Kutoa Elimu Kuhusu Taarifa Binafsi 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > PDPC  Yashauriwa Kutoa Elimu Kuhusu Taarifa Binafsi 
Habari

PDPC  Yashauriwa Kutoa Elimu Kuhusu Taarifa Binafsi 

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
TUME  ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeshauriwa kutoa Elimu ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kuanzia ngazi ya Shule za msingi ili kuwa na jamii inayoheshimu faragha na Taarifa Binafsi za watu.
Ushauri huo umetolewa leo Juni 21, 2026 jijini Dodoma na Bw. Fred Nyandoro, Mkazi wa Dodoma alipotembelea banda la PDPC lililopo kwenye viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma na kupata elimu ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutoka kwa wataalamu wa PDPC.
“Ushauri wangu kwa Tume ni vizuri kuaanza kutoa elimu kuanzia ngazi ya Shule za awali, msingi, sekondari na vyuo kwa kuwa tukiwajengea vijana uwezo wa kutambua na kuelewa umuhimu wa ulinzi wa Taarifa hasa Taarifa Binafsi tutaendelea kuwa na jamii ambayo inajitambua na inayoheshimu Faragha na Taarifa Binafsi za watu. Pia naishauri jamii kwa ujumla kuhakikisha Taarifa zetu zinakua ni za siri” amesema Bw. Nyandoro
PDPC imeweka kambi ya siku nane (8) kuanzia Juni 16,2026 mpaka Juni 23, 2026 kwenye Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, 2026, yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma ili kutoa huduma mbalimbali za PDPC, ikiwemo Elimu na Ushauri kuhusu Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya 44 (PDPA) kwa wananchi na  watumishi wa umma.

You Might Also Like

Fanyeni kazi kwa bidii kulinda taswira ya TARURA

Jaji Mwambegele: Habari Sahihi ni Msingi wa Ushiriki Mpana wa Wananchi Kura 2025

Samia akisalimiana na Rais wa China

Wananchi Kutembea Mwendo Mrefu Kutokana Na Upungufu Wa Majengo

Ajira kwa Vijana na Afya kwa Wazee: Ajenda Kuu za Wagombea Jimbo la Dodoma Mjini

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article UCSAF  Kujenga Minara 287, Mradi  Wa Awamu Ya 10
Next Article PSSSF Yapongezwa kwa Kutoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii Wiki ya Utumishi wa Umma
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfumo Wa Kidijitali Wa PSSSF Wamvutia Mkurugenzi Wa BOT
Habari August 5, 2026
FAO Yasisitiza Kutowapa Mifugo Dawa Bila Maelekezo Ya Watalaam
Habari August 5, 2026
Balozi Wa Kudumu Wa Mashirika Ya UN Atembelea FAO Nanenane
Habari August 5, 2026
Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026
Habari August 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?