MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Shirikisho la Wanahabari  Afrika ya Mashariki (FEAJ) lakutana Mombasa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Shirikisho la Wanahabari  Afrika ya Mashariki (FEAJ) lakutana Mombasa
Habari

Shirikisho la Wanahabari  Afrika ya Mashariki (FEAJ) lakutana Mombasa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
3 Min Read
Mwandishi wetu, Mombasa
SHIRIKISHO la Waandishi wa habari Katika Ukanda wa Afrika Mashariki (FEAJ) limekutana katika mkutano Maalum kwa mara ya kwanza tangu viongozi wake kuchaguliwa mwaka jana ili kuweka Mikakati ya kusaidia Tasnia ya habari ukanda huo.
Akifungua Mkutano huo, June 20,2026,.mjini Mombasa, Rais wa FEAJ Erick Oduor amesema lengo la shirikisho hilo ni kuwaunganisha wanahabari kufanya kazi pamoja na kutatua changamoto zao.
Oduor amesema, changamoto za wanahabari katika Ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa kiasi kikubwa zinafanana hivyo ni muhimu kuwa na Mkakati wa Kikanda kutatua changamoto hizo.
Amesema FEAJ inakusudia kuwa na miradi kadhaa ya Kikanda ili kuboresha Utendaji wa wanahabari katika maeneo mbali mbali na kuwa na ushirikiano katika kuandika habari zenye manufaa kwa wananchi.wa  Ukanda wa Afrika Mashariki.
Akizungumza katika mkutano huo, Rais wa Shirikisho la wanahabari Afrika (FAJ) Omar Faruk Osman aliwataka waandishi katika Ukanda wa Afrika Mashariki kuwaunga mkono viongozi wa FEAJ.
Amesema kumekuwepo na vyama vingi vya waandishi lakini FAJ inashirikiana na FEAJ katika kusaidia sekta ya habari,Uhuru wa vyombo vya habari na usalama Kwa Wanahabari.
“Waungeni mkono viongozi wa FEAJ ili kuimarisha Tasnia ya habari katika Ukanda wetu wa Africa ya Mashariki na Sisi FAJ tutaendelea kuwaunga mkono”amesema
Akizungumza katika mkutano huo,Katibu Mkuu wa FEAJ Solange Ayanone
amesema wanakusudia FEAJ kuwa na program za kuimarisha vyama vya wanahabari ili kuwasaidia kukabiliana na changamoto zilizopo.
Viongozi ambao waliochaguliwa kuongoza shirikisho hilo  kwa miaka mitano ni Rais  Odour ambaye ni Mkuu wa Chama Cha Waandishi Kenya,(KUJ) Makamu wa Rais Patrick Oyet Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi Sudan Kusini na Katibu Solange Kutoka.Chama cha Waandishi Rwanda.
Habari Picha 12550
Wengine ni Wajumbe wa Kamati Kuu ambao ni Mussa Juma Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi Katika Vyombo Vya Habari Tanzania(JOWUTA )na Promise Twinamukye kutoka Chama Cha Waandishi Wafanyakazi Nchini Uganda.
Kabla ya mkutano huo , Viongozi na wanachama wa FEAJ walikuwa katika warsha ya siku tatu ya kuwajengea uwezo kuhusiana na masuala wa wahamaji na kubaini fursa zilizopo, mkutano ambao ulifadhiliwa na Shirika la kimataifa la Kazi Duniani (ILO) na wadau wengine.
Warsha hiyo ya Kikanda ilishirikisha Viongozi wa Vyama  Wanahabari kutoka Comoro, Jibuti, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Sudan, Somalia, Sudan Kusini, Tanzania na Uganda.

You Might Also Like

 DIB Kulinda Fedha Za Wawekaji Amana Katika Taasisi Za Fedha

Tido Mhando: Marufuku Kuwasilisha Vyeti, Nyaraka Za Kughushi Maombi ya Ithibati, Press Card

Kamati Ya Bunge Ya Ustawi Na Maendeleo ya Jamii, Yaipongeza Serikali Uwekezaji Kiwanda Cha Chai

Washauriwa Kutumia Mbegu Zinazokabiliana Na Mabadiliko Ya Tabia Nchi

TAKUKURU, Manispaa Ubungo Yawafikia Waendesha Bajaji, Bodaboda

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ujenzi Wa Barabara Ya King’ong’o, Kimara Umeanza-TARURA
Next Article UCSAF  Kujenga Minara 287, Mradi  Wa Awamu Ya 10
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mfumo Wa Kidijitali Wa PSSSF Wamvutia Mkurugenzi Wa BOT
Habari August 5, 2026
FAO Yasisitiza Kutowapa Mifugo Dawa Bila Maelekezo Ya Watalaam
Habari August 5, 2026
Balozi Wa Kudumu Wa Mashirika Ya UN Atembelea FAO Nanenane
Habari August 5, 2026
Wadau Wamiminika Banda La REA Katika Maonesho Ya Nanenane  2026
Habari August 5, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?