MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Yatoa Mwelekeo Maandalizi AFCON 2027, Yaimarisha Miundombinu Nchini
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Yatoa Mwelekeo Maandalizi AFCON 2027, Yaimarisha Miundombinu Nchini
Habari

Serikali Yatoa Mwelekeo Maandalizi AFCON 2027, Yaimarisha Miundombinu Nchini

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu,
DODOMA: SERIKALI imesema imejipanga kikamilifu kuhakikisha maandalizi ya mashindano ya AFCON 2027 yanaenda sambamba na uboreshaji wa miundombinu muhimu nchini.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kutokana na hoja za wabunge kuhusu hali ya miundombinu kuelekea mashindano hayo makubwa ya soka barani Afrika.
Makonda amesema tayari serikali imetenga fedha kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ikiwemo viwanja vya michezo, barabara na huduma nyingine muhimu ili kufikia viwango vinavyotakiwa kimataifa.
Ameeleza kuwa utekelezaji wa miradi hiyo unaendelea kwa kasi, huku serikali ikihakikisha Tanzania inajiandaa kuwa mwenyeji bora wa mashindano hayo, pamoja na kutumia fursa hiyo kukuza sekta za michezo na utalii.
Katika hatua nyingine, Makonda amegusia maendeleo ya tasnia ya urembo nchini, akisema imeendelea kukua kutokana na kuongezeka kwa makampuni yanayoandaa mashindano ya urembo.
Amebainisha kuwa hali hiyo imekuwa chachu ya kukuza vipaji na ajira kwa vijana, huku ushindani unaojitokeza ukichangia kuboresha ubora wa mashindano na kuifikisha tasnia hiyo katika viwango vya kimataifa.

You Might Also Like

Samia Azindua Shule ya Msingi ya Mchepuko wa Kiingereza Songea

CHAUMMA Yalia na Umaskini Katikati ya Utajiri wa Dhahabu

Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee

Askari wa Jeshi La Uhifadhi Kusini Wakumbushwa Wajibu

TEA, UNICEF na Canada waendeleza mageuzi ya elimu Sikonge

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Makampuni 100 kushiriki maonesho ya OSHA Njombe
Next Article Kisima Kimoja Cha Gesi Chaonesha Mshangao Kwa Uzalishaji Wa Gesi-PURA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nchi za SADC Zahimizwa Kuimarisha Umoja Kukabili Changamoto
Uncategorized July 17, 2026
Wananchi Washauriwa Kutumia  Wataalam Wa Ujenzi Kuepuka Madhara
Habari July 14, 2026
July 14, 2026
Uncategorized July 14, 2026
TANESCO Kutambulisha Mfumo Wa Kufunga Nyaya Kwenye Nyumba Ukifuatilia Matumizi Ya Umeme
Habari July 13, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?