MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tume Ya Madini Yaweka Vipaumbele Kuwezesha Vijana Kushiriki Katika Uchimbaji Madini 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tume Ya Madini Yaweka Vipaumbele Kuwezesha Vijana Kushiriki Katika Uchimbaji Madini 
Habari

Tume Ya Madini Yaweka Vipaumbele Kuwezesha Vijana Kushiriki Katika Uchimbaji Madini 

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
MAENEO 65  katika Mikoa 14 nchini yametengwa na Tume  ya Madini  kwa ajili ya wachimbaji wadogo wenye umri unaoanzia  miaka 18 hadi 40lengo likiwa ni  kuhamasisha ushiriki wa vijana katika  rasilimali za madini.
Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira wa Tume hiyo, Khamisi Kamando amesema hayo wakati , akizungumza kwa niaba ya Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, akielezea mikakati ya tume hiyo pamoja na fursa zilizopo kwa vijana kwenye sekta ya madini.
Aidha amesema , katika kipindi cha Julai hadi Desemba 2025, Serikali ilitoa leseni 5,983 za uchimbaji mdogo wa madini, ambapo asilimia 71 ya leseni hizo zilitolewa kwa vijana.
 Kuhusu mikakati ya Tume na fursa kwa vijana nchini , amesema Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuongeza ushiriki wa vijana katika sekta ya madini kupitia utoaji wa leseni, mafunzo, upatikanaji wa mitaji pamoja na kutenga maeneo maalum ya uchimbaji kwa wachimbaji wadogo.
 Amesema Kupitia Mradi wa Mageuzi katika Sekta ya Madini kwa Maendeleo Jumuishi na Endelevu (MBT), leseni 273 zilitolewa kwa vikundi 183 vya vijana vilivyosajiliwa katika halmashauri mbalimbali, hatua iliyowezesha vijana 2,550 kupata ajira za moja kwa moja katika shughuli za uchimbaji na biashara ya madini.
“Sekta hii imeendelea kukuza ujuzi wa vijana, ambapo wachimbaji wadogo zaidi ya mia Tano   walipatiwa mafunzo ya uchimbaji, uchenjuaji, uongezaji thamani na biashara ya madini kupitia ushirikiano wa Tume ya Madini na Shirika la Madini la Taifa  (Stamico),” amesema Kamando.
 Kuhusu kuongeza thamani kwa madini kabla ya kusafirishwa nje ya nchi, amesema hadi sasa kuna viwanda saba vya kusafisha madini vinavyofanya kazi nchini na kutoa ajira 273.
 Kadhalika amesema Tume imejipanga kuongeza kiwango cha utafiti wa madini nchini kutoka asilimia 16 ya sasa hadi kufikia asilimia 50 ifikapo mwaka 2030.

You Might Also Like

Rais Samia Afungua Barabara Ya Mbinga-Mbamba Bay Yenye Km 66-Ruvuma

Ridhiwani, Ulega Washiriki Maulid Ya Kumswalia Mtume Muhammad

Roman Glorig Ahuisha Mkataba wa Uwakilishi wa Heshima wa Tanzania Nchini Czech

Timu Wizara Ya Nishati Zawasili Tayari Kwa Bonanza

Trump Amteua Mtendaji Mkuu White House, Safari Ya Kuunda Timu Yake

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Dawati  La Jinsia Unguja Latoa Ulinzi Na Usalama Kwa Watoto Wa Kike Kuwaepusha Na Ukatili
Next Article Jamii Yatakiwa Kuzungumza Pamoja Kuhusu Maji, Masuala ya Jinsia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mwandishi Lucy Ngowi Miongoni mwa Waliong’ara Mei Mosi
Habari May 2, 2026
Tanzania yaendelea kuwa Shule ya Utumishi Barani Afrika,
Habari April 29, 2026
Wizara Ya Kilimo Yaomba Bunge Kuidhinisha Trilioni 1.1,Yaweka Mikakati Kuimarisha Sekta Hiyo
Habari April 28, 2026
NSSF Yafikia Trilioni 11.2, Hifadhi Skimu Yatajwa Kubadili Maisha ya Watanzania
Habari April 27, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?