MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TTCL Yatumia Nanenane Kuelimisha Kuhusu Huduma Ya Kuhifadhi Taarifa Kidijitali
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TTCL Yatumia Nanenane Kuelimisha Kuhusu Huduma Ya Kuhifadhi Taarifa Kidijitali
Habari

TTCL Yatumia Nanenane Kuelimisha Kuhusu Huduma Ya Kuhifadhi Taarifa Kidijitali

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu, Dodoma

SHIRIKA La Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema linatumia maonesho ya Nanenane kuelimisha kuhusu huduma ya uhifadhi wa taarifa kidijitali (Cloud Service) inayotolewa kupitia Kituo cha Taifa cha Data, kwa lengo la kurahisisha uhifadhi na matumizi salama ya taarifa.

TTCL imewataka Watanzania, wakiwemo wafanyabiashara, wanafunzi, waandishi wa habari na taasisi mbalimbali kutumia huduma hiyo.

Ofisa Tehama wa TTCL, Alfred Thawe, amesema huduma hiyo imeanzishwa ili kuwawezesha Watanzania kuhifadhi data na mifumo yao ndani ya miundombinu iliyopo nchini, bila kulazimika kutegemea huduma za nje ya Tanzania.

Amesema kupitia maonesho hayo wanahimiza wananchi kujifunza kuhusu huduma hiyo huduma hiyo ambayo inaweza kutumiwa na makundi mbalimbali.

Ameyataja makundi hayo kuwa ni pamoja na wanafunzi wanaofanya tafiti, wajasiriamali wanaohitaji kuhifadhi taarifa za biashara zao pamoja na taasisi zenye mifumo inayohitaji miundombinu ya kuhifadhi na kuendesha taarifa.

Kadhalika amesema, kituo hicho kinatoa huduma za miundombinu ya TEHAMA pamoja na huduma nyingine zinazohusiana na uhifadhi wa data.

” TTCL pia inatoa fursa kwa waandishi wa habari na wafanyabiashara wadogo na wa kati wanaohitaji kusajili na kutumia majina ya tovuti , huku akisisitiza kuwa huduma hizo zinapatikana kwa gharama nafuu,”amesema.

Thawe amesema moja ya faida kubwa ya kutumia miundombinu hiyo ni kuhakikisha taarifa za Watanzania zinahifadhiwa ndani ya nchi, jambo linaloongeza udhibiti na upatikanaji wa data hizo.

You Might Also Like

Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi

Samia Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu ALAT

Nchimbi Agongelea Nyundo Kwa Wagombea Watoa Rushwa

Msomi Wa Afya, Fatuma Atia Nia Jimbo la Dodoma Mjini

Wizara ya Maji: Uhifadhi Ziwa Victoria Unahitaji Ushirikiano, Uwekezaji Endelevu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Nishati Ni Chachu Ya Kilimo, Uchumi Na Maendeleo  Ya Vijijini – Saidy
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Ni Chachu Ya Kilimo, Uchumi Na Maendeleo  Ya Vijijini – Saidy
Habari August 3, 2026
August 3, 2026
Habari August 3, 2026
TAMCU Yapaa Kwa Uwekezaji,Yafikisha Thamani Ya Sh  Bilioni Tano
Habari August 3, 2026
Bidhaa Zinazozalishwa Nchini Zifikie Viwango Vinavyotakiwa Kukidhi Masoko-Balozi Mussa
Habari August 2, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?