MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Nishati Ni Chachu Ya Kilimo, Uchumi Na Maendeleo  Ya Vijijini – Saidy
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Nishati Ni Chachu Ya Kilimo, Uchumi Na Maendeleo  Ya Vijijini – Saidy
Habari

Nishati Ni Chachu Ya Kilimo, Uchumi Na Maendeleo  Ya Vijijini – Saidy

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu,Dodoma
MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Hassan Saidy, amewakaribisha wananchi na wadau kutoka sekta mbalimbali kutembelea Banda la REA katika Maonesho ya Nane Nane 2026 yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma, ili kujionea mafanikio ya utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini na kupata elimu kuhusu huduma zinazotolewa na Wakala.
Akizungumza kuhusu maonesho hayo, . Saidy amesema REA inaendelea kutekeleza miradi ya umeme vijijini na nishati safi ya kupikia kwa lengo la kuongeza upatikanaji wa nishati zote kwa wananchi ili kuchochea shughuli za uzalishaji, kuboresha huduma za kijamii na kuharakisha maendeleo ya kiuchumi nchini.
Habari Picha 13064
Ameeleza kuwa upatikanaji wa nishati bora umeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa kuwezesha matumizi ya teknolojia za kisasa katika kilimo, ikiwemo umwagiliaji, uchakataji na uhifadhi wa mazao, pamoja na kukuza biashara na viwanda vidogo vijijini. Hali hiyo imechangia kuongeza tija, kipato cha wakulima na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Saidy amesisitiza kuwa Banda la REA ni fursa muhimu kwa wananchi na wadau kupata elimu kuhusu utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini, kufahamu mafanikio yaliyopatikana na kuelewa mchango wa nishati katika kuimarisha maendeleo ya wananchi hususan waishio vijijini ili kuitekeleza kivitendo Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

You Might Also Like

Posta Yaleta   Usafiri Wa Kitalii Ndani Ya Sabasaba

Mgombea Urais wa CHAUMMA Atangaza Mpango wa Kunusuru Kilimo

WCF Yaleta Utulivu Mahala Pa Kazi – Katambi

Biteko – Asisitiza Umuhimu Wa Mifumo Thabiti Ya Nishati Jadidifu Kukidhi Mahitaji Ya Nishati

Ruto: Diplomasia Itumike Kumaliza Mgogoro Kongo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article
Next Article TTCL Yatumia Nanenane Kuelimisha Kuhusu Huduma Ya Kuhifadhi Taarifa Kidijitali
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TTCL Yatumia Nanenane Kuelimisha Kuhusu Huduma Ya Kuhifadhi Taarifa Kidijitali
Habari August 3, 2026
August 3, 2026
Habari August 3, 2026
TAMCU Yapaa Kwa Uwekezaji,Yafikisha Thamani Ya Sh  Bilioni Tano
Habari August 3, 2026
Bidhaa Zinazozalishwa Nchini Zifikie Viwango Vinavyotakiwa Kukidhi Masoko-Balozi Mussa
Habari August 2, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?