MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari

TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF Tanzania) imezindua rasmi utekelezaji wa miradi ya elimu visiwani Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (WEMA), ikiwa na lengo la kuboresha miundombinu ya shule.
Kupitia ushirikiano huu, TEA na UNICEF wametenga jumla ya Sh. Bilioni 2.5 kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa vyumba vya madarasa, maabara za sayansi, pamoja na matundu ya vyoo katika shule 20.
Shule 11 zipo kisiwani Unguja na shule 9 kisiwani Pemba.
Akizungumza kwenye kikao kazi cha mradi, Mkurugenzi Mkuu wa TEA, Dkt. Erasmus Kipesha, alisema utekelezaji unatarajiwa kuanza mwishoni mwa Januari na kukamilika kabla ya mwezi wa sita mwaka huu, 2026.
Alibainisha kuwa lengo ni kuwawezesha wanafunzi kusoma katika mazingira bora, salama, na rafiki kwa afya zao.
Dkt. Kipesha pia alisisitiza kuwa TEA, kama taasisi ya Muungano, ina wajibu wa kutekeleza miradi ya elimu Zanzibar.
Habari Picha 10761
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Khamis Said akifafanua jambo katika kikao kazi maalum cha kujadili utekelezaji wa miradi ya elimu kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA).
Mkuu wa WEMA,  Khamis Said, aliishukuru TEA kwa mchango wake na kueleza kuwa miradi hiyo imechochea wadau wengine kuchangia maendeleo ya elimu.
Aliongeza kuwa ujenzi na ukarabati umefika wakati muafaka,

You Might Also Like

Elimu Itolewe Kuhusu Ufahamu Wa Kuwepo Kwa Fedha Maalum – Ridhiwani

Vyama Vya Wafanyakazi Kujadili Hatma Ya Wafanyakazi TAZARA

Mabalozi Wa Utalii Waahidi Kuulinda Ushoroba Wa Kwakuchinja

Majaliwa Afanya Harambee Ya Mei Mosi 2025

Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article JAB yawaonya wanaofanya kazi za kihabari bila ithibati
Next Article Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
JAB yawaonya wanaofanya kazi za kihabari bila ithibati
Habari January 7, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?