MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TARURA Wataka Makandarasi Kulinda Njia Mbadala Kipindi cha Mvua Kubwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TARURA Wataka Makandarasi Kulinda Njia Mbadala Kipindi cha Mvua Kubwa
Habari

TARURA Wataka Makandarasi Kulinda Njia Mbadala Kipindi cha Mvua Kubwa

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)  umewataka makandarasi wote wanaotekeleza miradi ya ujenzi na ukarabati wa barabara kuhakikisha wanazilinda, kuziimarisha na kuzitunza njia mbadala ili ziweze kupitika wakati wote, hususan kipindi cha mvua kubwa.
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma, Catherine Sungura, imesisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kuzuia kufungwa kwa barabara, kupunguza msongamano wa magari na kuhakikisha usalama wa watumiaji wa miundombinu ya barabara unaendelea kuzingatiwa wakati miradi ya maendeleo ikiendelea kutekelezwa.
Catherine amesema makandarasi wote wanapaswa kuhakikisha njia mbadala zinazotumika wakati wa ujenzi zinakuwa imara na zinapitika wakati wote bila kusababisha usumbufu kwa wananchi.
“Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa, bado kuna miradi ya maendeleo ya barabara inayoendelea kutekelezwa, ikiwemo ujenzi wa mifereji ya maji, makaravati, barabara za zege pamoja na maandalizi mengine ya kiufundi katika maeneo tofauti ya miradi,” amesema.
Aidha, TARURA imewataka makandarasi kuweka mifumo madhubuti ya kupitisha maji ya mvua katika njia mbadala ili kuzuia uharibifu wa miundombinu na kuhakikisha magari yanaendelea kupita kwa usalama na urahisi wakati wote.
Wakala huo umesisitiza kuwa usimamizi makini wa miradi hiyo ni muhimu ili kuhakikisha maendeleo ya miundombinu hayaathiri huduma za usafiri kwa wananchi, hasa katika kipindi cha mvua zinazoendelea kunyesha.

You Might Also Like

Mgombea Urais CHAUMMA Ahaidi Soko La Kisasa Feri

Theluthi mbili ya nguvu kazi ya taifa ipo kwenye kilimo

EAC Yaweka Mguu Chini Ushirikishwaji Wa Wanawake Katika Amani, Ulinzi Na Usalama

COSTECH Yasaini Mkataba Ujenzi Jengo La Sayansi, Teknolojia, Ubunifu

Mama Mchumgaji TAG Zinga, Asheherekea Siku Ya Kuzaliwa Na Watoto Yatima, Mazingira Magumu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article IITA Yawekeza Bilioni 410 Tanzania Kuimarisha Kilimo, Utafiti
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

IITA Yawekeza Bilioni 410 Tanzania Kuimarisha Kilimo, Utafiti
Habari May 9, 2026
Vyuo Vikuu Vyahitaji Mkakati Madhubuti wa Tafiti — Yanda
Habari May 8, 2026
Asilimia 26 Ya Wanawake Ndio Wanaoamini Kuwa Na Uhuru Wa Kufanya Maamuzi Ya Kufanya Shughuli Za Uchumi
Habari May 8, 2026
Kesi 100 Za Wananchi Zasikilizwa Na Kupatiwa Suluhu Katiba Na Sheria
Habari May 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?