MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wizara ya Maji Yasisitiza Ushirikiano Na Sekta Binafsi Kuhifadhi Rasilimali za Maji
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wizara ya Maji Yasisitiza Ushirikiano Na Sekta Binafsi Kuhifadhi Rasilimali za Maji
Habari

Wizara ya Maji Yasisitiza Ushirikiano Na Sekta Binafsi Kuhifadhi Rasilimali za Maji

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
SEKTA ya Maji inazidi kushirikisha wadau wa maendeleo na sekta binafsi katika kutekeleza miradi ya maji yenye manufaa kwa jamii.
Moja ya wadau hao ni kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola, ambayo imewekeza Dola za Marekani milioni 1.94 katika mradi wa uhifadhi wa vyanzo vya maji katika Kidakio cha Ngerengere, Bonde la Wami-Ruvu, mkoani Morogoro.
Habari Picha 11578
Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali za Maji,  Rosemary Rwebugisa, amesema mradi huu unalingana na mkakati wa Wizara wa kuimarisha uhifadhi wa vyanzo vya maji na kuhakikisha upatikanaji endelevu wa rasilimali hiyo kwa maendeleo ya jamii na uchumi.
Wakulima na maelfu ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro, Mvomero, na Morogoro Vijijini watafaidika kutokana na kulindwa kwa chanzo hicho muhimu kinachohudumia Mkoa wa Pwani na Jiji la Dar es Salaam.
Rwebugisa ameongeza kuwa Wizara itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo, sekta binafsi, na jamii katika miradi ya uhifadhi wa vyanzo vya maji, sambamba na kukuza uelewa wa matumizi endelevu ya rasilimali za maji.
Amesisitiza kuwa ushirikiano huo ni sehemu ya juhudi za serikali za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na kuhakikisha usalama wa maji kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
Habari Picha 11579
Meneja Rasilimali Watu na Utawala wa Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu,  Juvenalis Tarimo, amesema taasisi hiyo itaendelea kusimamia rasilimali za maji kwa kuzingatia sheria za usimamizi wa rasilimali hizo ili kuhakikisha mradi unaleta tija kwa jamii.
Mradi utatekelezwa katika Ngerengere, ukijumuisha kujenga uwezo kwa jamii katika usimamizi endelevu wa maji na kuhamasisha mbinu bora za kilimo kinachostahimili mabadiliko ya tabianchi.
Mradi unaongozwa na Shirika la Global Water Challenge (GWC), International Union for Conservation of Nature (IUCN), Coca-Cola Tanzania, na Bodi ya Maji ya Bonde la Wami-Ruvu, ukiwa sehemu ya jitihada za pamoja za kulinda vyanzo vya maji na kuimarisha maisha ya wananchi.

You Might Also Like

Rais Samia atambua mchango wa NHIF, WCF

JUMIKITA Yaiomba Serikali Mikopo Ya Fedha, Vifaa

Majaliwa Afanya Harambee Ya Mei Mosi 2025

Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa

Mbunge Asisitiza Sheria za Majiko Safi Ili Kulinda Mazingira

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tanzania Yajikita Katika Ushirikiano wa Kikanda Kuhusu Maji
Next Article TPHPA Yapeleka Wadudu 4,252 Ziwa Victoria Kudhibiti Gugu la Kariba
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Serikali  Kutumia Fursa  ya AFCON,  Miss World Na IPU Kukuza Utalii Nchini
Habari May 15, 2026
TFS Yavunja Rekodi Utalii Wa Misitu,Mapato Yapaa Kwa Asilimia 43
Habari May 15, 2026
Serikali Kuimarisha Uvuvi Bahari Kuu Kupitia TAFICO
Habari May 14, 2026
TPHPA Yaimarisha Mapambano Dhidi Ya Visumbufu Vya Mazao
Habari May 14, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?