MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Vikao vya Kamati za Bunge Kuanza Januari 13, 2026 Dodoma
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Vikao vya Kamati za Bunge Kuanza Januari 13, 2026 Dodoma
Habari

Vikao vya Kamati za Bunge Kuanza Januari 13, 2026 Dodoma

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
VIKAO vya Kamati za Kudumu za Bunge vinatarajiwa kuanza kufanyika kuanzia Jumanne, Januari 13 hadi Ijumaa, Januari 23, 2026 katika Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.
Taarifa hiyo imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma cha Ofisi ya Bunge, Dodoma, ikieleza kuwa vikao hivyo ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano wa Pili wa Bunge unaotarajiwa kuanza rasmi Jumanne, Januari 27, 2026.
Kwa mujibu wa ratiba hiyo, Wabunge wanatakiwa kufika Jijini Dodoma siku ya Jumatatu, Januari 12, 2026, ili kushiriki shughuli za kamati.
Katika kipindi hicho, Kamati za Bunge zinatarajiwa kutekeleza shughuli mbalimbali zikiwemo,
Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Kamati.
Pia Kamati kujitambulisha na kuzifahamu Wizara na Taasisi zilizo chini yake pamoja na baadhi ya sera na sheria kulingana na majukumu ya kila Kamati.
Vile vile kupitishwa kwa majukumu ya msingi ya kila Kamati; na
Kamati ya Bajeti kufanya maandalizi ya hoja zitakazojadiliwa na Bunge katika Mkutano wa Pili.

You Might Also Like

Wiki ya kudhibiti bidhaa bandia kuhitimishwa DSM

China Yaendelea Kunufaisha Afrika, Wakati Marekani Ikikatiza Uwekezaji Katika Bara Hilo

Watanzania Watakiwa Kuachana Na Dhana Potofu Kuwa Nishati Safi Ya Kupikia Ni Gharama

Wahamasika Kutumia Mbegu Bora Za Karanga Zilizofanyiwa Utafiti Na TARI

Miradi 10 Ya Kimkakati TPA Kuinua Uchumi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Simbachawene Ashauri Suluhu ya Mafuriko Mpwapwa
Next Article JAB yawaonya wanaofanya kazi za kihabari bila ithibati
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?