MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA Yazalisha Bidhaa 825, Zinauzwa Ndani Na Nje Ya Nchi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA Yazalisha Bidhaa 825, Zinauzwa Ndani Na Nje Ya Nchi
Habari

VETA Yazalisha Bidhaa 825, Zinauzwa Ndani Na Nje Ya Nchi

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Lucy Lyatuu, Dodoma

MAMLAKA  Ya Elimu Na Mafunzo Ya Ufundi Stadi (VETA), kupitia kampuni tanzu ya ujuzi ya kuendeleza ujuzi imezalisha jumla ya bidhaa 825  za ubunifu ambazo zimekuwa zikiuzwa katika soko la ndani na nje ya nchi.
Meneja Ujuziwa Kampuni hiyo, katika Mamlaka hiyo, Marco Kapinga amesema hayo  wakati akizungumza katika banda la VETA lililoko katika wiki ya utumishi wa Umma ,inayofanyika katika viwanja vya Chinangali Park mkoani humo.
Habari Picha 12400
Kuhusu kampuni hiyo alisema inaendeleza  uzalishaji na kuingia kwenye biashara katika bidhaa za samani,ngozi,asali na hata mafuta ya mgando na lengo likiwa ni kuongeza uwezo ambapo Mamlaka imefanikiwa kwa kiwango kikubwa.
Amesema katika bidhaa hizo zilizozalishwa zimetumia ubunifu na kuongeza uzalishaji na ujuzi ambapo  katika bidhaa  hizo 825 nyingi ni za maofisini, nyumbani na katika hoteli mbalimbali zilizoko Zanzibar.
“Nje ya n hi tumeuza bidhaa katika soko la Canada na sasa tuko kwenye kuandaa mkataba wa makubaliano na utakapokamilika tutausaini lakini pia katika soko la Urusi, hii ikiwa ni baada ya ziara ya Rais  Dkt Samia Suluhu Hassan aliyoifanya hivi karibuni,” amesema Kapinga.
Kwa upande wake Meneja Rasilimali Watu wa VETA, Elihaika Manyanga amesema VETA  imekuwa ikitumia wiki ya utumishi wa umma kueleza na kuonesha huduma mbalimbalimwanazotoa pamoja na kueleza mitaala itolewayo katika Mamlaka hiyo.
Habari Picha 12401
“Wanaotaka kujiunga  na Mamlaka hii tunatumia wiki hii kuwakumbusha kuwa Julai ndio muda muafaka,na kwamba wanaweza kutumia mifumo mbalimbali ya mamlaka hiyo ili kujiunga,” amesema.
Habari Picha 12402

You Might Also Like

Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii

Wizara  Ya Maliasili Na Utalii Ilivyotamba Na Historia Ya Faru John Na Faru Fausta Mbele Ya Kamati Ya Bunge

Fanyeni kazi kwa bidii kulinda taswira ya TARURA

Sagini Amwelezea Kaluta Amir Abeid Ni Alama Ya Kuigwa

Sheikh Akemea Wanawake,Wanaume Wanaovaa Vibaya 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article  Mfumo Wa REA  Wa Digital Platform  Wapongezwa Na Waziri Kikwete
Next Article Ridhiwani Aipongeza EWURA kwa Utoaji wa Huduma kwa Wananchi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

SmartDarasa: Tunda la Miaka 40 ya COSTECH Linalobadili Elimu ya Sayansi Tanzania
Makala August 1, 2026
TVLA Yazalisha Chanjo ya Kudhibiti Homa ya Kutupa Mimba kwa Mifugo
Habari August 1, 2026
Halmashauri Ya Jiji La Dodoma Lawataka Wakulima Kutumia Nanenane Kujifunza Kilimo Cha Kisasa
Habari August 1, 2026
Dkt. Nchemba: TPHPA Yazidi Kuwafikia Wakulima
Habari August 1, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?