MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TFS Yashiriki Maonesho ya Nane ya Madini Geita
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TFS Yashiriki Maonesho ya Nane ya Madini Geita
Habari

TFS Yashiriki Maonesho ya Nane ya Madini Geita

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
GEITA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS), imesema  inazalisha mazao bora ya nyuki na kuwataka wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya hifadhi kushiriki katika shughuli za ufugaji nyuki badala ya kuendeleza ukataji miti holela.
Mhifadhi kutoka Shamba la Miti Silayo TFS , Juma Mdoe amesema hayo katika maonesho ya nane ya sekta ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya Mama Samia Suluhu Hassan, Bombambili mkoani Geita,
Habari Picha 9649
“Tunawahamasisha wananchi na wadau kuwekeza katika ufugaji nyuki kwa kuwa ni shughuli endelevu inayoongeza kipato bila kuharibu mazingira.
“Pia kuna fursa za utalii na michezo ya kimazingira kama mbio za nyika katika Shamba la Miti Silayo na Rubare,” amesema.
Habari Picha 9650
TFS, kupitia vitengo vyake ikiwemo Kituo cha Mbegu za Miti Morogoro na mashamba ya miti kama Silayo, inabaki mstari wa mbele katika kutoa elimu na kuhamasisha matumizi bora ya rasilimali misitu nchini.
Habari Picha 9651

You Might Also Like

 Mfumo Wa REA  Wa Digital Platform  Wapongezwa Na Waziri Kikwete

Sagini Amwelezea Kaluta Amir Abeid Ni Alama Ya Kuigwa

MAIPAC Yagawa Makoti Ya Usalama Kwa Wanahabari Kuelekea Uchaguzi Mkuu.

TAA Yasisitiza Uwajibikaji katika Utoaji wa Huduma

Mdemu Awataka Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kuchangamkia Mkopo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Epukeni Mikopo Inayowafilisi,Tumieni Taasisi Zinazotambulika Na BOT – Mkuu Wa Wilaya Komba
Next Article NIC Yaimarisha Uhusiano na Wateja Maonesho ya Teknolojia ya Madini Geita
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TANESCO Kutambulisha Mfumo Wa Kufunga Nyaya Kwenye Nyumba Ukifuatilia Matumizi Ya Umeme
Habari July 13, 2026
Wananchi Waendelea Kunufaika Na Ofa Za TTCL Sabasaba 2026
Habari July 13, 2026
Ruhuka: Mdudu Anayetishia Zao la Kahawa, TARI Yaja na Suluhisho
Habari July 12, 2026
BRELA Yaja Na Mfumo BOS Uliounganisha Mifumo Yote
Habari July 12, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?