MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania Na Africa50 Wazidi Kuimarisha Ushirikiano
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania Na Africa50 Wazidi Kuimarisha Ushirikiano
Habari

Tanzania Na Africa50 Wazidi Kuimarisha Ushirikiano

Author
By Author
Share
1 Min Read

 

Na Mwandishi Wetu

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,  Amina Khamis Shabaan, amesema kuwa ushirikiano kati ya Tanzania na Africa50 utafanikisha miradi ya kimkakati na kuimarisha ushirikiano katika ya miundombinu.

Amina amebainisha hayo nchini Marekani, alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu, anayesimamia Mikakati, Uhusiano na Uwekezaji wa Africa50,  Jon-Pierre Fourie, Kando ya Mikutano ya Mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF.

Habari Picha 10081

Pamoja na mambo mengine, wamejadiliana namna ya kuwa na ushirikiano endelevu Kupitia ubunifu, uwekezaji na ujenzi wa uwezo wa ndani ya Bara la Afrika.

Aidha, Serikali ilipongeza dira ya Africa50 ya kuendeleza miradi ya kijani (green infrastructure) inayoendana na Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP III) na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050.

Habari Picha 10082

Serikali ilithibitisha dhamira yake ya kuendeleza ushirikiano huo, ikisisitiza kwamba kupitia ubia na Africa50, Afrika inaweza kujenga miradi yenye mabadiliko makubwa katika viwanda, biashara za kikanda na kuboresha maisha ya wananchi utakaoleta matokeo halisi ya maendeleo kwa Bara la Afrika.

Habari Picha 10083

 

You Might Also Like

TUCTA Yaainisha Mambo Matano Yanayohitaji Hatua Za Haraka

Waziri Mkuu Aagiza Kuimarisha Ufuatiliaji Na Tathmini Kuleta Maendeleo

Mbunifu Alilia Uwepo Wa Miongozo Kwa Wagunduzi

Polisi Dar Wakamata Magari 15  Yasiyo na Usajili Rasmi

TARI Kihinga Yainua Kilimo Cha Michikichi Kigoma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Madaktari Kutoka Ireland Watoa Matibabu Ya Mifupa Kwa Watoto MOI
Next Article Dkt Natu Mwamba Ashuhudia Utiaji Saini CRDB Na Taasisi Tatu Za Fedha Kimataifa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Jeshi La Zimamoto Yaimarisha Elimu Kwa Wananchi Kuhusu Matumizi Salama Ya Nishati Ya Kupikia
Habari August 9, 2026
DC Kondoa  Aipongeza TFS Kwa Teknolojia Ya Uhifadhi Wa Misitu Na Utali
Habari August 8, 2026
Waziri Nanauka Aipongeza   TARURA Kwa Mpango Wa  CBRM ‎
Habari August 8, 2026
PURA Yawataka Watanzania Kujenga Uwezo Kunufaika Na Sekta Ya Mafuta Na Gesi
Habari August 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?