Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 6, 2026
Habari Author 14

  VETA Yashiriki Tamasha La Kizimkazi

 Na Mwandishi Wetu
MENEJA  wa Mamlaka Ya Elimu Na Ufundi Stad( VETA) Kanda ya Kaskazini Monica Mbelle, (kulia) akitoa maelezo kuhusu mafunzo ya ufundi stadi kwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan jinsi yanavyonufaisha makundi mbalimbali katika jamii alipotembelea banda la VETA katika Tamasha la Kizimkazi linalofanyika katika viwanja vya Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar.
Tamasha hilo lenye kaulimbiu *Kizimkazi kumenoga, shangwe na fursa* limezinduliwa Agosti 12 , 2026 na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar   Dkt. Hussein Ally Mwinyi na linatarajiwa kuhitimishwa Agost 14 , 2026.
Habari Picha 13244
Habari Picha 13245
Habari Picha 13246
Habari Picha 13247
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.