MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Kusaini Muongozo Wa Kima Cha Chini Cha Mshahara Kwa Sekta Binafsi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Kusaini Muongozo Wa Kima Cha Chini Cha Mshahara Kwa Sekta Binafsi
Habari

Serikali Kusaini Muongozo Wa Kima Cha Chini Cha Mshahara Kwa Sekta Binafsi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Lyatuu
SERIKALI imesema hivi karibuni inatarajia kusaini kuwa Sheria miongozo Wa kima cha chini Cha mshahara kwa TaasisiI binafsi zinazofanywa kazi nchini.
Imesema katika miongozo huo inatarajia kuainisha viwango vipya vya mshahara ambapo wafanyakazi Wa sekta binafsi watakuwa wanalipwa.
Waziri Wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira  Vijana Na Wenye Ulemavu  ,Ridhiwan Kikwete amesema hayo jijini Arusha katika uzinduzi wa jengo la  biashara Shirikisho La Vyama Vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) lililoko mkabala na soko kuu.
Kuhusu miongozo huo amesema mazungumzo yameshafanyika baina ya wadau ambao ni Taasisi binafsi na wasimamizi wa sera lakini pia uongozi wa timu Ya Wizara iliyopewa jukumu la kusimamia marekebisho hayo.
Habari Picha 8928
Amesema kikao kilichobakia ni Cha mashauri ambapo watashauriana na wenzao juu ya viwango vilivyowekwa na baada ya hapo mapema mwezi ujao huenda wakasaini marekebisho hayo.
“Hivyo nawaambia Wafanyakazi kuwa Rais Dkt Samia anathamini sana maslahi yenu,” amesema Ridhiwan na kuongeza kuwa serikali Itaendelea kuboresha sheria za Wafanyakazi Ili ziendane na mahitaji ya wafanyakazi.
Amesema  Serikali  itaendelea kushirikiana na Wafanyakazi  bega kwa bega katika:Kutekeleza mikakati ya kuongeza ajira;Kulinda haki za wafanyakazi;Kuimarisha mifumo ya utatuzi wa migogoro kwa njia ya mazungumzo.
Habari Picha 8949
“Tunahitaji kuona wafanyakazi wakifurahia kazi zao, waajiri wakipata tija, na taifa likikua kupitia mshikamano wa kweli,” amesema na kuongeza kuwa Vyama vya Wafanyakazi,  ni Wadau muhimu katika ustawi  na maendeleo ya Wafanyakazi.
Habari Picha 8950

You Might Also Like

Vipima Ulevi Zaidi Ya 3000 Vyakabidhiwa Polisi Na Latra

Rais Mwinyi adhamiria kusimamia ubora wa bidhaa

BMT Yaleta Kicheko Kwenye Michezo

TARI Yakutanisha Wadau Kuwaeleza Matokeo Ya Tafiti Za Mbegu Wanazofanya

Chuo Cha VETA Chazindua Mradi Wa Biogas

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwan Azindua Jengo La Biashara La TUCTA-Arusha
Next Article TUCTA Yapongezwa kwa Uwekezaji Mkubwa Arusha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?